Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. HEHEHEHEEH!!KAZI KWELI KWELI!!HIYO NI KASTAMA KERO KABISAAA...MDAU NORWAY

    ReplyDelete
  2. Shukrani kwa mchoraji Mpangala. Katuni hii inatufundisha mengi. Imenikumbusha ujumbe niliowahi kuandika kuhusu suala hili la huduma kwa wateja. Bofya hapa.

    ReplyDelete
  3. ukikutana na mtu kama huyo kata makofi anza zako analeta uchangu kazini

    ReplyDelete
  4. Hivi haona jamaa walivyotaharuki?? Halafu hawa tunao wengi tu.

    ReplyDelete
  5. msinikumbushe machungu!!

    nimeumia sana baada ya kuona hii pic,maana kuna watu ata kuzimu itawatapika

    ngojeni tu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...