Home
Unlabelled
Mambo yote London Kesho!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Yaani Mi nakuja nimuone Francia tu.
ReplyDeleteGO GO Francia, I can't wait to see you tomorrow, I'll be cheering you up
ReplyDeleteTamaa ni hatari sana, kila kukicha kampuni za beer zinajikita kwene maisha yetu!Hapa Norway timu ya mpila ilifungiwa kwa kuvaa jezi zinazotangaza beer,lakini huko kwetu pamoja na majanga yote ukimwi watoto wa zinaa wapi viongozi wametia pamba masikioni mwendo mdundo waonekane wa kisasa na wasionekane wadini kwa kukataza huu upuuzi kazi kweli kweli hivi pamoja na swala zake Kikwete haoni kama ataulizwa siku ya malipo kwene uongozi wake?
ReplyDeleteMi nitakuja nimuone Mama Maajar, maana namsikia tu.
ReplyDeleteEBU WEKENI UJUMBE UNAOELEWEKA HAPA..UKISEMA "MAMBO YOTE LNDONI KESHO" MANAKE NINI, KUNA NINI, TANZAZO, MWALIKO AU??? KUWENI MAKINI PENGINE KAMA NIA NI KUTIA UJUMBE.
ReplyDeleteMinster means a Church or a Place of Worship. (Westminster).
ReplyDeleteMinister means a Clergyman or a high ranking official in a government.