Baba Tovu magoli hafungi sasa Kama anaweza kutoa mapepo atuambie tujipange foleni maana hata yale ya kuvizia anakosa siku hizi...
Mdau Oman
-------------------
MATOKEO YA PREMIER LEAGUE LEO
Arsenal 0-0 Man City
Arsenal 0-0 Man City
Bolton 2-2 Portsmouth
Hull 0-1 Sunderland
Man Utd 3-1 Tottenham
West Ham 3-2 Wigan
Wolves 1-1 Blackburn
Michuzi huyu jamaa wa Oman anatuyeyusha, mwambie ache chuki binafsi. Huna haja ya kutupa matokeo kila mtu anaangalia mpira kwenye TV. Inaonekana umeondoka BongoLand karne nyingi LOL
ReplyDeletechuki binafsi, namuoneshe hizo hila zenu kwenye mechi yenu na chelsea
ReplyDeleteacha ujinga wewe,kama kufunga basi DARREN BENT(sijui kama unamjua maanake uelewa wako wa mpira ni mdogo sana) angekuwa first choice england striker
ReplyDeleteMhh!! ... kila mtu anaangalia mpira kwenye TV hapa bongo? Si dhani kama imeendelea kiasi hicho!!
ReplyDeleteYaani huyu jamaa anayesema huwa 'Baba tov' Dimitar gafungi aache ujinga maana walisema kuwa Man U bila Rooney hawafungi,ona sasa Totenham wamewafunga Chelsea na Arsenal na wameshindwa kutufunga Man U bila Rooney.
ReplyDeleteNaona jamaa hakuangalia jinsi Dimitar Berbatov alivyokuwa akipunguza mabeki na kutoa mapande yaliyoshiba.Ni mfumo wa kocha tu,Ferguson hupenda kila mchezaji aweze kuuchezea mpira na hana mfunguji maalumu.