Baadhi ya warembo wanaoshiriki katika kinyang’anyiro cha miss Miss Universe wakikutana leo na wanahabari jijini Dar leo. Kampuni ya Serengeti ni moja ya kampuni ilyodhamini mashindano hayo yatakayofanyika Ijumaa hii kwenye Ukumbi wa Mlimani City.. Jumla ya warembo 24 watashiriki kinyang’anyiro hicho. walioketi mbele toka shoto ni Happy Kimbe mlezi wa warembo , Bahati Singh Meneja Matukio na Promosheni, Imani Lwinga Meneja Mwandamizi wa Mahusiano na Mawasiliano wa SBL na Nandi Mwiyombella Meneja Bidhaa.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...