Katibu Mkuu Kiongozi, Philemon Luhanjo akifungua mkutano wa Makatibu Wakuu, Naibu Makatibu Wakuu na Makatibu Tawala wa Mikoa wanawake kwenye ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha ST. Gaspar Conference Cetre Mjini Dodoma, Aprili 15, 2010.
Baadhi ya Makatibu Wakuu, Naibu Makatibu Wakuu na Makatibu Tawala wa Mikoa wakifuatilia kwa makini mkutano wao huo kwenye ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha ST. Gaspar Conference Cetre Mjini Dodoma, Aprili 15, 2010.
Katibu Mkuu Kiongozi, Philemon Luhanjo (mwenye suti nyeusi katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Makatibu Wakuu, Naibu Makatibu Wakuu na Makatibu Tawala wa Mikoa wanawake kwenye ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha ST. Gaspar Conference Cetre Mjini Dodoma, baada ya kufungua mkutano wao wa mwaka, Aprili 15, 2010.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Ukumbi gani huo wa kuwaweka wakatibu wakuu na wao ndo watendaji wa serikali? Yaani wanakaa kwenye vidawati? Aibu sana hiyo....huyo aliyeandaa huo mkutano awajibishwe...!!

    ReplyDelete
  2. hivi michuzi hii blogu ni ya CCM na misiba? kila mtu atakufa ni kweli lakini humu matangazo ya misiba yamezidi yani blogu hii imeanza kupoteza mvuto watu wanakimbia
    Na tabia ya kubanabana meseji kila wakati zinaudhi
    saaaaaaana wadau ndio maana siku hizi comment kiduuuchu tuna savey tu basi manake tukicomment hata kama meseji haina matusi unabana
    huwa unavunja watu moyo saaaaana
    ukiibana hii meseji hayaaaa... ukiirusha hayaaaaa....

    ReplyDelete
  3. Mother I'm proud of you !!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...