Ankal,
naomba kuwasilisha kwenye blogu yako ya jamii kiunganishi (link) cha mahojiano na msanii mahiri wa Bongoflava MwanaFA.Pamoja na mambo mengine,msanii huyo ameongelea mipango yake ya sasa na baadaye katika fani ya bongoflava.Mahojiano hayo yanapatikana hapa
http://chahali.blogspot.com/2010/04/mahojiano-maalum-na-mwanafa.html
Natanguliza shukrani zangu za dhati
Chahali

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. michuzi eenh , pichaa hazitokei kabisa hatuoni kitu zaidi ta alama ya kuuliza rekekisha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...