Gari iliyomchukua Mzee Yusuph kabla ya kumwahisha hospitali
Na Dina Marios
Leo mchana msanii maarufu wa muziki wa taarabu hapa nchini Mzee Yusuph alikuja hapa ofisini kwetu Clouds FM kwa ajili ya kulipia matangazo.Sasa bahati mbaya akiwa kwenye parking humu ndani ghafla akawa analalamika hawezi kutembea aletewe kiti akae. Baada ya kuletewa kiti akakaa lakini tena baadae akawa analalamika hawezi kukaa miguu inauma na kiuno kinauma ikabidi atandikiwe chini alale.Kadri muda ulivyokuwa ukienda akawa anazidi kulalamika maumivu mwili mzima. Basi ikabidi abebwe na kuingizwa kwenye gari na kukimbizwa hospitali.
Habari zaidi
Pole mzee Yusuf kwa maradhi ya ghafla. Ukitaka kula walishwaaaaaaaa! ukitaka kubebwa wabebwaaaaaaaaaa! na hapo mjengoni umebebwaaaaaaaaaa! kuingizwa garini. pole kaka mwenyezi mungu atakuafu.
ReplyDeleteMwenyezi Mungu amnusuru. Hila zote dhidi yake, zishindwe na zilegee. Amina itikia.
ReplyDeleteAshindwe Alegee Mrogaji Mja Walaana Amina Itikiaa. Kwa dua hii Inshaallah utapona Mzee...shaka ondoa.
ReplyDeleteInaelekea ana matatizo ya mshipa wa fahamu. MpelekeniIndia kafanyiwe matibabu atapona Inshalah. Kupitia blog ninaelekeza dua zangu kwa Mungu Mwenyezi katika jinala Yesu Kristo ampe ponya ndugu yetu Mzee. Ninaomba na kuamini ameishapona Amen. Hii ni siri kubwa katika ulimwengu wa Roho. Wewe unayesoma hapa naomba elekeza mikono yako kwa Mzee ili apokee uponyanji katika jina la Yesu Amen.
ReplyDeleteHivi mbona tunahukumu kuwa karogwa ilihali taarifa ya hivyo haijathibitika????
ReplyDeleteTuachane na hivi imani za kishirikina, Mzee Yusuph amefanyia service mwili wake siku za karibuni? Maana hizo ni dalili za magonjwa yanayohusiana na moyo, kwa upeo wangu mdogo.. Madaktari watazungumza zaidi kwenye hili...
Lets be scientific tuachane na ushirikina....
Ashindwe Alegee Mrogaji Mja Walaana Amina Itikiaaaaaaaaaa!!!!!
ReplyDeletearamba, aramba, aramba, aaahhh..
aramba tena, aaaaahhhhhh
mzee yusufu aramba tenaa aaaaaaahhh
Duuh!!! Prado ambulance. That is malaria signs.
ReplyDeleteMungu inshallah atampa afueni,
ReplyDeleteinawezekana matatizo ya moyo,ninavyomuona kuwa anamwili mkubwa,inawezekana ikawa moyo.
mwenyezi Mungu akimpa nafuu,lazima ajitaihidi sana sana kufanya japo Jogging.pia ambunguze kula vitu vya mafuta kama vile vyama.apendelee sana mboga mboga na matunda.