Gari aina ya DCM lenye nambari za usajili T 711 AKA lifanyalo safari zake kati ya Sinza - Gongo La Mboto,imeigonga kwa ubavuni gari aina ya Toyota Cary lenye nambari za usajili T 565 BBL.ajali hii imetokea jioni ya leo katika makutano ya mtaa wa Lindi na Arusha,Ilala na kusababisha mtu mmoja kujeruhiwa na kukimbizwa hospitali ya Amana.sehemu hii imekuwa ikitokea ajali nyingi za namna hii kutokana na kukosekana kwa vibao vya alama za usalama barabarani.
wananchi wa jirani na eneo la tukio wakishangaa kutokea kwa ajali hiyo.
ajali ionekanavyo kutokea mtaa wa Lindi
fisi likivuta mzoga wake
fisi mbili zikijaribu kuinyanyua hiyo aina Cary ambayo iligongwa na kuanguka.huku askari wa usalama barabarani akichora mchoro wa ajali jinsi ilivyotokea.
harakati za kunyanyua gari iliyopinduka ikiendelea.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ankal Hawa madereva wa DCM ni wavuta bangi yafaa wawe wanakula STIKI, hawana akili hata nusu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...