DSC02468.JPG

Nabii Tito akiendelea kuangusha moja moja huku akiangusha neno la bwana kwa waumini

DSC02480.JPG

Nabii Tito akipitia mistari katika baiboDSC02444.JPG

DSC02485.JPG

aya za Nabii Tito zisomekavyo kuokea katika ubao wake

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Prof. PETER NALITOLELAApril 13, 2010

    NABII TITO WEE NABII UCHWARA MIMI NDO NABII KAMILI ALIYESOMA CHEO CHA UWAZIRI WA FEDHA NA UCHUMI CHA UNIVESITI CHA KULE MOLOGOLO. AMBAKO TUMEPIGA BUKU NA MKUU WA STERINGI WA SINEMA TANZANIA MH. STIVINI KANUMBA NA BOSI WA WOSTRITI NABII YOHANA MASHAKA WA HUKO MELEKANI. WEE NAONA UMEKUNYWA MBEGE NYINGI SANA NABII TITO, UMEOA WANAWAKE WENG MPAKA UKALA CHIZI, UMEKULA KITI MOTO KUVUKA MPAKA.UMEBWIA BANGI HADI BWI NABII TITO. HAUNA LOLOTE KWA SABABU HAUJASOMA UCHUMI MUZUMBE BWANA, SISI WATU WA MUZUMBE TUNAFAHAMIKA SANA. SI UNAONA HATA ANAKAL WA MUZUMBE HESHIMA ZAKE AKIENDA VEKESHENI NA KUMWAGA KINGENGE WATU WANAPIGA MAKOFI BILA KUPINGA? WEWE NI KUUZA SURA TU NABII. KAMA WEWE NI NABII KWELI, NJOO HAPA UPAMBANE NA US-BULOGA AU JINIASI WETU NABII YOHANNA MASHAKA!

    ReplyDelete
  2. MICHUZI ASANTE SANA KWA KUTOWEKA VIDEO ZA HUYU KICHAA KWENYE BLOG YAKO...MICHUZI USIMUWEKE KABISA HAPA ANA HARIBU DINI NA KULETA UDINI NCHINI KWETU!!USIMPE KICHWA HUYO MWENDAWAZIMU

    ReplyDelete
  3. jamani jamani kama watu kumkufuru mungu basi huyu shetani nabii tito ni namba moja,huyu mtu ni wa kuuwawa kabisa kwa mambo anayoyahubiri kwani anataka kupotosha watu.kuna siku nimemshuhudia kwa masikio yanu siku moja akitangaza kwamba bia ni dawa ya ukimwi na akawa anabishana na pastor mmoja anamwambia kama anataka kuongea nae aagize konyagi anywe ndio aongee naye,na yeye akawa ameagiza konyagi na mungu asivopenda jina lake litumike vibaya akamueleleza akajikuta kamtuma teja,na teja akaingia mitini na elfu kumi.kweli huyu ni na nabii wa wapi?au ni kumkufuru mwenyezi mungu?kwanza mimi siwezi kumwita nabii namwita tito,agent wa shetani.inasikitisha sana.

    ReplyDelete
  4. Jamani dunia imekwisha na enaelekea ukingoni,dah huyu jamaa ni noma mie hii muvi niliiyona kwenye Tube web.jamani nilicheka maana anakwambia piga maji,haleluya, haleluya, anakwambia hata Yesu alikunywa sana pombe,daha hii ni hatari sana lakini hata vitabu vinasema mwisho wa dunia kutakuja manabii wengi wauwongo.

    ReplyDelete
  5. Sasa ankal ni aje tena, unasema umemuweka nabii bila clip zake...Kama umeamua kuweka habari zake basi weka kila kitu, sababu sisi ambao hatuko huko tunapenda kujua habari za home...sasa kama umeona tunahitaji kuiona iweke full kama hutaki tuone na kujua basi usiweke kabisa...
    Mdau!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...