awali kiota hiki kilichopo maeneo ya Ghana jijini Mbeya kilijulikana kama Orofea. siku hizi ni Mkapa Conference Centre. Ni pazuri kwa mikutano na minuso kama panavyoonekana
kwa mbele
wakati dar tunapata taswira za harusi pale ufukweni mwa barabara ya ocean road, Mbeya ni hapa. Hii harusi ilikuja kupata taswira tu. ndani kulikuwa na mnuso wa harusi ingine
kwa ndani ambapo mnuso unaandaliwa
sehemu ya nyuma





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. mdau ulie leta hii kitu naomba namba ya simu ya hawa jamaatafadhali.

    ReplyDelete
  2. Ankal

    Huu ukumbi wa Mkapa haupo eneo la Ghana kama mdau alivyosema bali upo eneo la Soko Matola na zamani ulikuwa unaitwa Welfare not Orofea

    ReplyDelete
  3. enzi hizo nipo mby R.Mengi kaweka TV yake kupitia ITV tunaangalia fainali za mataifa huru ya africa yaliofanyika nchini afrika kusini, tunaitana wazee wa soka "Oyaah twendeni komuniti senta kuangalia mpira" wanajeshi utawasikia "Poa tumsubiri kwanza kamanda V" hapo tunatoka ISANGA kikosi kamili enzi hizo isanga inatisha mkoani mbeya "it was just like the autonomous state in the country and no one could be able to interfere our..." kila mtu alikuwa mbabe na tulikuwa tunajulikana kama ISANGA DEFFENCE ARMY (IDA)tulikuwa wakorofi wee acha tu..

    huu ukumbi ulikuwa unaitwa COMMUNITTE CENTRE

    ReplyDelete
  4. Mithupu naomba niweke ule wimbo..."Safari yetu Mbeya, Tulifurahi sana.. wakazi wote Mbeya walitushangilia.." nimesahau unaendaje.

    ReplyDelete
  5. umenena kaka badi hapo sio ghana ni soko madwichi aka matola

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...