Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi Makatibu Muhtasi kabla ya kufungua Kongamano lao kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango Mjini Dodoma leo. Kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Mh. Celina Kombani. Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akihutubia wakati alipofungua kongamano la Makatibu Muhtasi kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango Mjini Dodoma leo. Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akizindua Mkataba wa Huduma kwa Mteja baada ya kufungua Kongamano la Makatibu Muhtasi kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango Mjini Dodoma leo. Kulia kwake ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Celina Kombani, na Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Ndugu Maswi
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akizindua Mkataba wa Huduma kwa Mteja baada ya kufungua Kongamano la Makatibu Muhtasi kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango Mjini Dodoma leo. Kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Celina Kombani.
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akiponyeza kitufe kuashiria uzinduzi wa Mkataba kwa Wateja baada ya kufungua Kongamano la Makatibu Muhtasi kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango Mjini Dodoma leo. Picha na mdau Hilary Bujiku wa Ofisi ya Waziri Mkuu





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Utii kwa Mabosi muhimu. Msilisahau hilo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...