Meneja Masoko wa kampuni ya Precision Air, Emillian Rwejuna (kushoto) akikabidhi fulana pamoja na mipira kwa Makamu wa Rais wa Muungano wa vyama vya mchezo wa Rugby, Chris Hatty (kulia) ikiwa ni sehemu ya udhamini kwa timu ya taifa ya mchezo huo inayokwenda leo mjini Arusha kushiriki michuano ya kimataifa kwa nchi za Afrika Mashariki. Katikati ni Rais wa Muungano wa vyama vya mchezo huo, Tinus Aucamp. Kampuni hiyo pia ilitoa tiketi za ndege kwa ajili ya wachezaji pamoja na viongozi watakaoambatana na timu hiyo. Makabidhiano hayo yamefanyika leo jijini Dar



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...