


Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Juhudi za watanzania wenzetu ambao wanawahudumia na kuwakarimu wageni hawa nazo zithaminiwe pia.
ReplyDeleteni maoni tu
bravo muheshimiwa,juhudi zako tunaziona.hongera baba.
ReplyDeleteJamani correct me if am wrong, naona kama wanafanana na Brad Pitt!? Is there any relation?? Swali tu waosha vinywa msinimeze bila kusali kwanza. Mama Watoto
ReplyDeleteNdio huyu ni mdogo wa Brad Pitt.
ReplyDeletehalafu habari hizi za JK kuwa marekani nimeona kwenye mablog ya huku ulaya pia, alikuwepo hapo pia Lorraine Hill (kwa wale ambao mnamkumbuka bado) ila kamichu zikukuona basi nikashangaa tu ila ilifana vizuri tu.
Charity starts at home! Kuna watanzania wengi wamejitoa mhanga kuitangaza nchi yetu na kufanya mambo makubwa kwa ajili ya nchi hii.
ReplyDeleteTungeanza nao kwanza halafu hao wengine kama tunawapenda saaana basi tuwape hata kama hawana manufaa kwetu
WELLDONE MR PRESIDENT FOR YOUR VISION.....
ReplyDeleteThe significant appointment of Mr Doug Pitt as Goodwill Ambassador for tourism in Tanzania,is one of the accurate future vision of boosting tourism indistry,which is cought into a trap of world economy difficulties for many tourists to coup with,as well as poverty due to the nature human population growth at the wildlife reservation sites.
Mr Doug Pitt has to be aware it wont be easy task of just "hit and run" it needs a lot to be done,which Tanzania cant make it alone without International community support.
Mickey Jones
Denmark
haki ya mungu hili litasha limetulia ni lizuri mpaka basi yani nimemzimikia saana namtamani saaana tuuu waoshaaa eeeh sukutueni tuu lakini hilo zungu linamvuto wa haja lol smatiiiiiiiiivicing
ReplyDeleteMAMBO YA MALARIA YAMETOSHA. AJALI ZA BARABARAN ZINAUA WATU KILA SIKU. SASA TUNATAKA 'TANZANIA BILA AJALI INAWEZEKANA'.
ReplyDeletemama watoto hapo juu ni ukweli usiopingika huyo mtasha ni mdogo wake brad pitt wa damu
ReplyDeletejust for the interest who was the ambassador before?
ReplyDeleteUncle, Hivi JK naye amekwama kusafiri kama wengine (Mambo ya Volcano ya Iceland) au ziara bado haijakwisha?
ReplyDeleteMdau
Acha uvivu, kama uko mtandaoni si google tu upate jibu?
ReplyDeleteStraight away utapata jibu Doug ni ndugu yake wa kuzaliwa Brad.
aisee kumbe tuko wengi,i thought niko mwenyewe
ReplyDeleteuyu zungu ana mvuto wa kufa mtu,yani nipotupa jicho tu mh nkaona mbona kama brad pitt vile?
kumbe ndugu?nimemtamani
na kweli kuna wazalendo wengi tu waliojitoa kwa kutangaza nchi yao lakini ndo ivo tena hawathaminiwi,na before goodwill ambossador alikua nani?
Pia google uelewe concept nzima ya balozi wa hiari kabla ya kusema kuna watanzania ambao tungeanza nao.....!!! Tunaelewa maana yake?
ReplyDeleteHongera Mhe.Rais, kwa kuitangaza sekta ya utalii, heshima uliyompa balozi D. Pitt itaongeza imani kwa wamarekani kuja nchi. Ubarikiwe na Mungu akujalie afya njema na kukupa wepesi wa kazi katika majukumu yako.
ReplyDelete