



(photos by Freddy Maro)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kweli marahisi wa kiafrica wanapendana sana!! kwani kweli kupokeana kwa zamu na lazima na ngoma wachezewe. Hivi kuna ulazima gani. Na hapo nauakika kitita chepesa kimetemea washangiliaje awaji bure!!! jamani tu we serious wewe unakwenda kwenye mkutano paa shuka huthuria timuka . kasilahi mbele. why we keep wasting time !! wake up africa
ReplyDeletePOLE KWA SAFARI MZEE, SAFARI MOJA HUZAA NYINGINE.
ReplyDeletewe Anon wakwanza! unataka watu wakale wapi? unadhani mjini utarima rami!
ReplyDeleteHao wakipewa bado hela itakuja kwenye mzunguko wahela!
Ila swalilangi ni KWANINI MSEVEN HAJAJA KUMPOKEA KIKWETE/
AU ANAUMWA? NA KAMANIMAKUSUDI BASI SIKU AKIJA TUNAMTUMA PINDA AKAMPOKEE!
Mbona hili lidege la raisi lina msitari wa buluu kama daladala ya mwananyamala?
ReplyDeleteAnon 30April 11:19 am hahahahahah umenichekesha sana. Nadhani Museveni hiyo kashfa ya ufisadi maandalizi ya mkutano wa Jumuiya ya Madolo una mnyima usingizi.... ila inawezekana yupo na cabinet yake vikao vya maandalzi si unajua Africa maandalizi ya "zimamoto" ndo zetu?
ReplyDeleteWwe Anon wa kwanza? Je! ndege zitatua kwa pamoja ili ngoma na nk ziwe kwa pamoja au wakae airport kusubiriana ndo ngoma zianze? Sijakuwela wasiwasi wako ni nini?
Hujui wacheza ngoma wapo ofisini kwao pia? wasipocheza watakula vipi?
Ipo siku utasema wapeane lift kwenye ndege.. tanzania, rwanda, burundi, kenya to Uganda hahahah
unataka yawe ya rwanda 1994
Thu Apr 29, 10:08:00 PM Anon... Protocol hizo mzee wacha majungu hata kwa wacheza ngoma? Loh! Omba nafasi chuo cha diplomasia ukasome kidogo utaelewa jinsi ya kwa handle -- viongozi wakuu
ReplyDeleteMbona Museveni hakuja kumpokea Prezzo?
ReplyDeleteAu ni kweli lile bifu lao na JK?
hapana ameazima dege la chadema MALIZIA
ReplyDeleteUpokewaji wa viongozi kwa ngoma ni kitu cha kawaida na ni heshima. Rais hawezi kushuka airport kama mkimbizi. Yeye ni kiongozi wa nchi anapotua nchi nyingine lazima heshima kwa taifa iwepo ikiwemo kupigiwa wimbo wa taifa, gwaride na ngoma. Mbona huhoji kwanini wazungu waliweka utaratibu wa gwaride na mizinga? wewe umeona ngoma tu? acha hizo. Kuhusu Museveni kutoenda airport ni kwamba, kama Kikwete angekuwa amekwenda kwa ziara ya kitaifa, angekuja museveni, lakini amekwenda kwa ajili ya kikao na wako maraisi wengi wanakuja kwa mpigo, unataka museveni ashinde airport kuwapokea? Mara nyingi kukiwa na vikao hata kwetu wataenda viongozi wengine kupokea mfululizo wa wageni.
ReplyDelete