Sherehe ya Muungano wa Tanzania iliyoandaliwa na Jumuiya ya Watanzania Roma (TZ-RM), itafanyika mjini Roma tarehe 24 April 2010 kwenye ukumbi wa L'Aggiustafesta uliopo maeneo ya Cassia- Grottarosa kwenye mtaa wa Via Cassalatico 6.

Watanzania wote muishio Italia mnakaribisha kujumuika na kusherekea siku hii muhimu kwa taifa letu. Ukumbi utafunguliwa kuanzia saa nane na nusu na sherehe kuanza rasmi saa tisa kamili. Tunaomba tujitaidi kufika mapema ili sherehe iende kama ilivyopangwa.kwa maelezo zaidi mnaweza kutuandikia e-mail
watanzaniaroma@yahoo.com,
simu 0039-3479094800
au mnaweza kutembelea blog yetu hapa
www.watanzania-roma.blogspot.com.
Wote mnakaribishwa.
Andrew Chole Mhella
Katibu Wa Jumuiya ya Watanzania Roma

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...