Familia ya Hayata wa Mwenge Dar es salaam inasikitika kutangaza kifo cha mpendwa wao Skandar Mohamed Hayata (pichani) kilichotokea nyumbani kwake Mbezi Makonde Dar es salaam majira ya saa moja jioni, tarehe 13.04.2010. Marehem aliyelizaliwa mwaka 1952, anatarajiwa kuzikwa Siku ya Jumamosi tarehe 17.04.2010 katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar.

Bwana alitoa,
Bwana ametwaa.
Jina la Bwana lihimidiwe.
Mola aiweke roho ya Marehemu pahala pema peponi - Amina
Familia ya Hayata
Kwa mawasiliano:
Bw. Boniface Katanyabile
0784 780 188

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Ha !, Masikini mzee Hayata, Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi

    ReplyDelete
  2. Poleni sana wanafamilia na wahusika wote. Ninamkumbuka sana marehemu, alikuwa schoolmate wangu pale Bukoba seko miaka ya mwanzoni mwa 1970na mwingi wa ucheshi, upendo, na furaha.
    Pumzika kwa amani ndugu yetu.

    ReplyDelete
  3. May God rest His soul in peace amen Jamani Hayata was so nice nimejuana nae since 1984 tumeishi wote mwenge as a family ni mtu ambaye alikuwa na upendo sana na majirani zake wakubwa na wadogo. Will miss you Brother

    ReplyDelete
  4. Mimi nilisoma naye UDSM early 70's. Mpaka leo nakumbuka baadhi ya stories zake alizokuwa akitupa na kutuchekesha. Nawapa pole wanafamila wake. Mwenyezi Mungu amlaze pema peponi. Amin.

    ReplyDelete
  5. Nimepokea msiba huu kwa huzuni sana. Iliyobaki tumwombee na tuenzi upendo, uchezi wake. Be Blessed Uncle Hayata

    ReplyDelete
  6. Ndugu na familia ya hayata nimepokea kwa uchungu na majonzi msiba wa mjoma hayata kwani alikua rafiki mkubwa wa mjomba angu Dr. mhoma. Mungu mueke mahari pema uncle hayata na nina imani nyumbani tz atakuja mtu kutuwakilisha akiwemo uncle Dr. mhoma na wengine poleni sana wana familia . albert

    ReplyDelete
  7. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi Amina.

    Uncle tutakukumbuka kwa ucheshi wako, mawazo yenye busara, na ideas za kujikwamua kiuchumi. Tumepoteza mtu aliyekuwa na akili sana

    ReplyDelete
  8. KingBigyMay 10, 2010

    thanx to u all we mc our Dad

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...