Kutoka kulia ni Meneja matangazo wa Tigo,Redemtus Masanja anaefuata ni Linda Chiza Afisa Uhusiano wa Exim Bank na Seleiman Nyambui ambae ni katibu mkuu chama cha Riadha Tanzania wakionyesha kwa msisitizo ramani ya njia itakayotumika kwenye Mbio za kilometa 15 na matembezi ya hisani ya kilometa 6 yenye lengo la kuhamasisha jamii kuchangia mradi wa maji katika maeneo ya vijijini,Mbio hizo zitafanyika tarehe 18 aprili 2010 katika uwanja wa taifa mpya.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ni idea nsuri ila ingekuwa vizuri zaidi kama unge/wangeweka jinsi ya kujisajili na kueleza bayana ni kiasi gani kujisajili.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...