Ujumbe huu unawahusu wale wote wanaoendesha blogu/tovuti kwa bure katika mtandao wa Ning, kwamba watarajie karibuni (takriban wiki mbili zijazo) kupokea ujumbe toka menejimenti ya Ning kuhusiana na mabadiliko muhimu. Taarifa hii ni kwa mujibu wa tovuti ya habari za mitandao jamii ya TechCrunch inayosema, 'Ning’s Bubble Bursts: No More Free Networks'

"Ning is making some major changes: It has just announced that it is killing off its free product, forcing existing free networks to either make the change to premium accounts or migrate their networks elsewhere. Rosenthal has also just announced that the company has cut nearly 70 people of its staff."

Soma habari kamili kwenye linki hii:
www.wavuti.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. maskini Global pub tutaikosa sasa va bure navo havifai lol

    ReplyDelete
  2. KWANI WEWE NI MUWAKILISHI WA NING????....AU UNATAKA KUWA WA KWANZA KUTOA HIZI HABARI, AU UNATANGAZA TOVUTI YAKO KIAINA???

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...