Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 21 mpaka sasa

  1. Jibaba kumbe kiinglishi richebo? nilikua sijui. Jaribu kupunguza kuongea na mikono pia kugeukageuka kila kila sekunde.

    ReplyDelete
  2. Hahahaa.. kumbe ndo maana Ankali alikuwa akimtetea Kanumba!!

    ReplyDelete
  3. nauliza swali kwani we nani ktk tz hii unavyohutubia

    ReplyDelete
  4. Ankal wewe ni so, kumbe kiinglish hakikupiga chenga kaka, naomba darasa la kiinglishi kaka

    ReplyDelete
  5. michuzi ungewahi kuzaliwa ungekua baba wa taifa unajua dah we ni noma

    ReplyDelete
  6. ankal kumbe unatema lugha namna hio kweli asikuambie mtu dunia hii walio simple ndio werevu na wana exposure sasa wale wenzangu na mie kuringa kwingi waambie watoe hotuba jasho mpaka kwenye meno

    ReplyDelete
  7. copyright na kanumba duu ?

    ReplyDelete
  8. Kaka Michuzi, Hongera kwa mada nzuri sana. hata hivyo naomba kutofautiana nawe unapoweka mkazo kwa serikali kuwekeza ama kusaidia. Serikali haiwezi kufanya kila kitu. Hatuna budi tukubaliane ni yepi yapewe kipaumbele na serikali. Shid ya watu wetu kila kitu sasa ni serikali am wafadhili! Hakuna ambacho tutafanya sisi wenyewe kama jum,uia ama wananchi! Turudi kule tulikotoka kwenye misaragambo na kujitegemea zaidi!!

    ReplyDelete
  9. Imenichukua dakika nne za mwanzo kugundua kwamba ankal anazungumza kiinglish. NIlikuwa ninachanganyikiwa ni lugha gani inatumika sijui ni tatizo la sauti au accent! Unajitahidi ankal naona tuition inalipa! Hongera umetoka pina sana na suti umetuwakilisha wana jamii we are proud of you.

    ReplyDelete
  10. Tehe teh tee te!

    Michuzi usitudanganye wewe. Sisi sio watoto wadogo.

    Hii Spich ya Hotuba yako ya Dayaspora umei-edit wewe, ukatoa ule UKANUMBA wote, hapa ndo ukatuletea ile ambayo ni rifain d ili tukuone wa maana.

    Tehe teh tee tee! Kwisa gundua Janja ya Nyani.

    ReplyDelete
  11. kaka ucsahau kututembelea liverpool huku. tena we si mshabiki wa bwa la maini sasa unafikaje kwa bibi halafu unaacha kuja liverpool bwana?? ..njoo uchukue na taswira za anfield

    ReplyDelete
  12. Uncle umeongea vizuri.ila kulikuwa na pumba za hapa na pale.ila safi.ila jirekebishe kitu kimoja tu...legeza sura unapotoa maelezo.umekaza sura utafikiri Gadaffi.

    ReplyDelete
  13. Watu wote mliokuwa mnafikiria ankal "iz not richebo" nyie sio wadau wazuri wahii blog...ankal alishaweka picha hapa akiwa anasoma Cardiff University.
    Kuna mambo mengine anaandika hapa kuchangamsha ukumbi.

    ReplyDelete
  14. Mwanzoni nimeruka juu njikafikiri ni Kiganda - Kiaka ndo baadayeee nikaelewa kumbe unajaribu kutema kikristo! Kwikwi!


    KULIKUWA HAKUNA HAJA YA KUONGEA KIINGEREZA HAPO. HUU NI UTUMWA WA KUTUMWA!

    ReplyDelete
  15. ankal neno 'patriotism' limekutatiza hahahaha.

    ReplyDelete
  16. michu nimeshtuka kumbe ulikuwa unasoma hapo mbele kwenye laptop lakini watu wengi hawajagunduwa hilo.

    ReplyDelete
  17. Mbona ulikua kama unataka kulia vile...MHHHHHH...lol

    commens za watu wengine hapo juuu nimecheka kufa....

    Lakini kwanini kingereza....ina maaana watanzania hawajui kiswahili ua wamesahau kiswahili?????...mkija USA msituangushe

    When we mingle we do prefer our mother language...Inanichukizaga nikiona mijitu imekuja tu hapa kutembea au ndio imeingia basi inahangaika kujiongelesha kingereza....mhhhh wakati kingereza kina heavy accent kishenzi...who told you b'se we have been here for ages we don't remember our language.????? sigh!!..na mtu anayesema hajui au amesahau kiswahili huyo ana mapepo anahitaji kupepewa .....

    ReplyDelete
  18. ANKAL MIMI NATAKA KUKUONA NA NABII YOHANNA MASHAKA MKICHUANA KWENYE KIINGILISHI. NAJUA KANUMBA YEYE HAPO HANA LA KUSEMA.

    ReplyDelete
  19. I now live in north america and its funny because when i first got here I thought my english was bad, but i was very wrong. I was shocked to see some of our own who supposedly finished university, but could not even speak/write english. So seeing kamichu trying to convey his message across really amazed me.
    I have since isolated myself from people who dont want changes in their lives and will continue to further my education. Wish me luck guys cause once im done i am coming home to "GIVE BACK TO MY PEOPLE". I want to teach and make a difference. Just pray for me.

    Congrats michuzi at least you have shown us the difference. Good job.

    ReplyDelete
  20. Sasa kama mtu unakomaa na "box" zako huna kingine cha zaidi, utaacha kujivunia English?

    ReplyDelete
  21. Wow imenichukua dakika kadhaa kugundua kuwa anaongea ki-obama, mwanzo nilijua anaongea ki-kanumba. Ila sio mbya sana, hasa Ankal ukipunguza hahaaaa..heheeee..hahahaaa..Mhhh.... nyingi..Huku ughaibuni hizo zinachukuliwa kama vile n.k Tanzania , means nakuhishiwa point..!!.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...