Bosi wa Masoko wa kwianda cha Bonite Bottlers Bw. Gilbert uisso (shoto) akimkabidhi Bw. Mitalalulo Elisha mkazi wa Usa River mkoani Arusha Ticketi ya kwenda kuona kombe la dunia mara baada ya kushinda katika shindano la 'Kwea Pipa na Coca Cola' mjini Moshi leo.
Afisa wa Bonite Bottlers Bw. Hassan Mwassi (shoto) akimkabidhi Bi. Emmi Mariki zawadi ya Tv mara baada ya kushinda shindano la 'Kwea Pipa na Coca Cola' lililoandaliwa na kampuni hiyo mjini Moshi leo. Picha na Woinde Shizza wa Globu ya Jamii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...