
Sio ule ugonjwa …poza ball kaka!!!
JIBU = Ni 50cents anafanya movie mpya kama CANCER patient.
Unaona watu wanavyopenda kazi zao mpaka wana sacrifice miili na maumbile.
MDAU NYC
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kamichu ngoja nikukosoe fifty amefanya hivi sababu ya movie anayotakiwa kucheza ndio maana kajikondesha, kweli inaonekana kama kanywa vidudu vya ukimwi ila sio mgonjwa wala nini huku marekani kashangaza watu sana. Lakini heri mwenzetu anaonyesha juhudi za kazi sio sisi tunaotaka tu kuwakosoa wenzetu.
ReplyDeleteRIP - Pwagu
RIP - Gary Coleman
Mchumba tu...
ReplyDeletess ww hapo juu unapomkosoa michuzi ni nini unachoeleza zaidi ya michuzi alichoweka hapo...some people...
ReplyDeleteLengo la mdau wa kwanza ni kutujulisha kwamba yuko marekani. Tushakusoma.
ReplyDeleteMsiwe mnakurupuka tu kukomenti kabla hujasoma vizuri na kuelewa kilichoandikwa. Sasa wewe wakwanza hapo juu unakosoa nini na wakati unasema kilekile kilichoelezwa!
ReplyDelete...because he is a superstar, he has more control over what information leaks to the public, as evidenced by the claim that he's preparing for the movie. Where and when did you see someone change like that just for a movie? The truth of the matter is that 50 Cent is sick, quite possibly of a big one.
ReplyDeletewewe wa hapo juu kweli tikiti maji !! kichwa chako kime jaa makamasi !!sasa una mkosoa nini??Ou nyie ndo wale mnao karirisha majibu .
ReplyDeleteyaani we mdau wa kwanza umechemka, sasa ni nini ulichokosoa ambacho yeye amekosea? uwe unasoma vizuri kabla hujakurupuka tu na kuanza kukosoa wenzio. kilichoelezwa hapo juu wote tumeelewa kuwa ni maandalizi ya movie mpya kama cancer patient, wewe ndio hukuelewa umekurupuka na kusema hajanywa vidudu vya ukimwi! unatuboa bwana.
ReplyDeletebig up 50cent
Mimi siamini kama kweli huyu ni 50 Cent wa Ukweli...mbona zile Tatoo zake hazipo kwenye hii picha?
ReplyDeleteNadhani hapa Hollywood wamefanya utundu fulani.
wee jamaa hapo juu unajiona unajuaaaa wakati ukifungua yahoo tu habari inajiachia hotmail kama kawa watu kibao tumeiona hii ishu unaanza kukusoa kabla ya kusoma kwanza kisa umeona picha unaanza kucomment kuwa mpole sio unatoka baruti kama mbayuwayu!! by the way kanumba naye kwenye maigizo aka movie yeye ni tajiri tuuu awe anafagia au kufungua geti kuwa mfungwa nk hapo itanoga sana sio kila siku wee ni mtanashati tuu uwe unafagia pia. cheki wenzenu wanahela chafu lakini wamo kitozz hayo maigizo yenu kila siku ni mapenzi tuuu mademu mademu kuweni wabunifu jamani ebo!! chezeni na movie za kifisadi wamekamatwa wamefungwa nk
ReplyDeletemdau hapo juu zile tattoos za kwenye mikono ameziondoa ila bado zinaonekana kwa mbali na wakati wa movie atakuwa anazipaka make up ili zisionekane kabisaa ila ile ya mgongoni kaiacha
ReplyDeleteebwana huyu jamaa ni crazy G.K wa east coast ya enzi zileeee?daaaah anakwambia nitakufaje?mjomba hebu tuwekee yule jamaa humu?au ndio anarudi kama hivi..
ReplyDeletempwa wako wa kufikia popobawa hapa
hata mm nimemshtukia sana huyo mdau wa 1,coz hamna alichokosoa hapo.Mh ila sikumjua alivyochange,kweli wenzetu wanaipenda kazi yao
ReplyDeleteTatoo ni zina weza futwa kwa make up.
ReplyDeleteHuyu aliye sema 50 cent anaumwa, naona asubiri movie ikitoka ndio aseme tena.
Hakuna ajabu yeyote kwa 50 kujikondesha kwanza ana wa taalamu waushauri wa lishe na fitness na pia kupungua ni urembo ,ingawa sio kwakiwango hicho kwa umagharibi, so haikua tatizo sana kujikondesha kama ingekua huku kwetu na pia kurudi hali yake ya kawaida ni secunde tuu.
50 sio wa kwanz akujikondesha kwa ajili ya movie
Tom Hanks alisha jikondesha kwa movie mbili , ya kwanza Philadelphia na nyongine Cast Away ingawa hakujikondesha kwa kiwango hicho
Kuna actress mmoja niem sahau jina yeye aliwekewa hadi breast inplants ili aweze cheza movie kama a stripper kitu kama hicho. na wapo wengine wengi
Kuna mtu kasema eti huku Bongo sijui nini, jamani hatuwezi linganisha na bobgo Bongo hatulipwi vizuri na hata awards hazinaheshima yeyete,Si ajabu 50 ana imendea Academy Award "Oscar" ili kupata heshima as a serious actor.
...sasa mnabishana na mimi? mnajua nipo marekani..ooooh! ooooh!
ReplyDelete