MSANII ALI KIBA AKIENDELEZA MAKAMUZI YAKE KATIKA BONGO UK SPRING TOUR 2010, KESHO JUMAMOSI ATAWAPA BURUDANI WAKAZI WA IRELAND KATIKA UKUMBI WA MELODY ULIOPO DUBLIN.

HII NI KATIKA KUADHIMISHA MIAKA MITANO YA USIKU WA WATU WA EAST AFRICA MAARUFU KAMA "MOTO SANA"AMBAO UNASIMAMIWA NA DJ SPAQZ KUTOKA KENYA!

SOLO THANG NA TRIBE WATAKUWEPO KATIKA KUMPA SHAVU ALI KIBA ATAKAPO WAPA RAHA MASHABIKI NA VIBAO VYAKE VYOOTE VINANAVYOTAMBA MPAKA SASA!MA DJS USIKU HUO NI SPAQS,GUY,EDDY RASTA NA FRANK JEZZ.KIINGILIO 20 € KILA KICHWA.

KUANZIA SAA TATU ZA USIKU MPAKA KUNAKUCHA NA KISHA AFTER PARTY KWA WAALIKWA!SI YA KUKOSA HII......
WOOOTE MNAKARIBISHWA!
ADRESS YA UKUMBI
MELLODY 122 CAPEL STREET D 1.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 07, 2010

    wewe sasa watakushoka!! uende mitaa ingine

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 07, 2010

    jamani, oslo unakuja lini tena? tunakuhitaji sanaaa

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 08, 2010

    oslo mna njaa kama sudan haji mtu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...