Aamatus Liyumba akishauriana na
mawakili wake baada ya hukumu siku nnez zilizopita.
Na Ripota wa Mahakamani
wa
Globu ya Jamii
Zikiwa zimepita siku nne baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kumhukumu kifungo cha miaka miwili aliyekuwa Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Amatus Liyumba, mawakili wanaomtetea wameibuka na kukata rufaa kupinga hukumu hiyo.
Rufani hiyo imekatwa leo katika mahakama ya rufani Tanzania na mawakili wa upende wa utetezi wanaomtetea Liyumba.
Liyumba ambaye anawakilishwa na mawakili Hilary Mkate, Hudson Ndusyepo, Majura Magafu na Onesmo Kiyauke amekata rufani hiyo ambayo imepewa namba 56/2010 ambapo ndani yake amegusia sababu 12 zilizompelekea kufikia uamuzi huo wa ukataji rufani.
Katika sababu ya kwanza Liyumba alidai kuwa jopo la mahakimu linaloundwa na mahakimu watatu, ambalo lilikuwa likiskiliza kesi yake, lilishindwa kuchambua vyema ushahidi uliotolewa mahakamani hapo jambo lililopelekea kutoafautiana wakati wa usomwaji wa hukumu.
Sababu nyingine aliyotoa Liyumba ni kuwa mahakimu wawili kati ya watatu waliopo katika jopo la mahakimu lililokuwa likisikiliza kesi yake, ambao walimkuta na hatia walikosea kutokubali kuwa mabadiliko ya ujenzi wa majengo pacha ya BoT yalikuwa yakifanywa na timu ya wataalamu wa ujenzi kwa ushirikiano wa aliyekuwa Meneja Miradi wa BoT bwana Deogratius Kweka.
Pia katika sababu nyingine ameshindwa kukubaliana na mahakama ya Kisutu kwa kushindwa kukubaliana kuwa Meneja Miradi wa benki yaani Kweka ndiye aliyekuwa akihusika na mradi huo ambapo aliongeza kuwa ndiye aliyekuwa akiwajibika kwa aliyekuwa gavana wa Benki hiyo ambaye sasa ni Marehemu, marehemu Daud Balali.
Aidha Liyumba alipinga hukumu ya kifungo iliyotolewa na mahakimu hao kwa madai kuwa walifanya makosa kutupa ushahidi wote wa utetezi alioutoa mahakani hapo akiwa na shahidi wake ambaye ni aliyekuwa Kaimu Katibu wa BoT Bosco Kimela, kwa kile mahakama ilichodai kuwa wote walikuwa wakiishi rumande kutokana na kuwa na tuhuma mbali mbali.
Kwa upande wa sababu hiyo pia, Liyumba alidai kuwa mahakama hiyo ilikosea kusema kuwa ushahidi wao wa utetezi ulikuwa ni wa kutunga , na kuongeza kuwa yeye hakubaliani na hilo kwani ushahidi walioutoa ulikuwa ni wa kweli na si kama ambavyo mahakama inadai.
Mbali na hilo, Liyumba katika sababu nyingine alipinga uamuzi wa mahakimu hao wawili uliodai kuwa malipo ya kufanyika kwa mabadiliko ya ujenzi wa jengo la BoT, aliyafanya yeye kwani hakuna ushahidi ulioko kwenye kumbukumbu za mahakama unaoenesha hilo, na kwamba anashangaa mahakama imeutoa wapi ushahidi huo.
Katika sababu nyingine, Liyumba alidai kuwa mahakama haikuwa sahihi kusema kuwa uhidhinishaji wa kufanyika kwa matumizi ya utekelezaji kabla ya, kufanyika kwa jambo si sahihi kwani taratibu za fedha za BoT za mwaka 2006 zinaruhusu kufanyika hilo.
Pia Liyumba alidai katika hati ya rufani hiyo kuwa mahakama ya Kisutu, ilikosea kusema kuwa hakuwa na mamlaka ya kusahini barua za benki kuu, na kuongeza kuwa jambo hilo si la kweni kwasababu yeye akiwa kama Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala wa benki hiyo, alikuwa na mamlaka ya kusahini barua za kibenki.
Aidha Liyumba amepinga kile kilichosemwa na mahakimu wa mahakama hiyo, kwamba upande wa mashtaka umeweza kuthibisha kesi hiyo kupitia ushahidi wake pasipokuwapo na dosari, na kwamba hilo si la kweli kwani kuna mashaka mengi yaliyopo ndani ya ushahidi wa upande huo.
Katika sababu ya mwisho Liyumba alidai kwamba, wakati wa kusomwa kwa hukumu dhidi yake mahakama ya Kisutu ilikosea kwa kushindwa kufuata taratibu zilizoahinishwa kwa mujibu wa sheria.
Rufani hiyo bado haijapangiwa Jaji wa kuisikiliza ikiwa ni pamoja na tarehe ya kusikilizwa kwake.
Hivi karibuni mahakama ya Kisutu ilimhukumu Liyumba kifungo cha miaka 2 gerezani, baada ya kuonekana kuwa ana hatia dhidi ya tuhuma za kutumia vibaya madaraka yake iliyokuwa ikimkabili.
Hata hivyo jopo linaloundwa na mahakimu watatu waliokuwa wakisikiliza kesi hiyo, lishindwa kuafikiana wakati wa kutoa hukumu hiyo jambo lilosababisha kuwapo kwa hukumu mbili tofauti, huku ukumu iliyoungwa mkono na Mahakimu wawili ikimfunga Liyumba.
Wakati hukumu hiyo iliyoandaliwa na Hakimu Benedict Mwangwa pamoja na Hakimu Lameck Mlacha ikimfunga Liyumba, mambo yalikuwa tofauti kwa Hakimu Edson Mkasimongwa ambaye aliaandaa hukumu iliyotaka Liyumba aachiwe huru kwa kile alichokisema kuwa hakuwa na hatia.
Lakini kutokana na hukumu ya kumkuta na hatia Liyumba kuungwa mkono na Hakimu zaidi ya mmoja, ilipelekea mahakama hiyo kuichukulia hukumu hiyo kama utekelezaji wa mahakama, huku hukumu ya kuachiwa huru yaani iliyoandaliwa na Mkasimongwa ikisomwa na kubakia kama kumbu kumbu za mahakama katika kesi hiyo.
Katika hukumu ya mahakimu wawili iliyomfunga Liyumba, Mahakimu haoa walisema kuwa ushahidi wa mashahidi nane kutoka upande wa mashtaka uliifanya mahakama hiyo kuamini kuwa mshtakiwa alitenda kosa hilo hasa kwa kujipa madaraka ya kusahini baraua za uhidhinishaji wa kufanyika kwa mabadiliko ya ujenzi wa majengo ya BoT pasipo kuwapo na mamlaka ya kufanya hivyo.
Kwa upande wa Mkasimongwa, yeye alisema kuwa mahakama imuachie huru Liyumba kwasababu upande wa mashataka haukuweza kuithibitishia mahakama kesi hiyo na kwamba kuhusiana na hoja ya kuwa na mamlaka, Liyumba alikuwa na mamlaka ya kusahini barua hizo za kibenki.

They got to let him free. It dont make sense if he was at the first place convicted to serve only two years, and here we go again wasting tax payers money. The whole judiciary sytem need reform, if we need to combat corruption. They formed a commission to begin with and then TUKUKURU didt do nothing and lastly the court gave him two years and lastly mlalahoi analipia gharama zote za kesi.
ReplyDeleteWakati tunaona ya Musa kuwa kapewa miaka 2 tu jela, sasa tusubiri ya Farao!!
ReplyDeleteIf it was me, given such a light sentence based on the magnitude of the case involved.
ReplyDeleteI would settle for two years in jail, and forget about the whole thing, but it seems to me is taking a mockery of the judicial system, in such away that the money he is allegedly embadlzed on this project is currently been used to fight off the case with such a huge number of lawyers on his defence.
Alitakiwa afilisiwe mali yake yote, na kifungo ju. He is simply loughing at everyone right now.
Jamaa kaiba bilioni kibao,anafungwa miaka miwili tu!duh akauke tu next month atatoka kwa msamaha wa rais,mwizi wa kuku anapigwa mvua saba,babu seya kasingiziwa anakula miaka mia.pesa hii wanawane!!?
ReplyDeletesijui mnachoshangaa nini mkikukbuka babu seya mtapata majibu ya nchi yenu me nimezaliwa huku bahati mbaya najua nitapa kwetu siku sinyingi kabla sijasingiziwa kama babu seya alafu mwizi jambazi kama huyo bwana hapo anapeta
ReplyDeleteSerikali hawana kesi yoyote on this guy ndio maana wamechongesha ya miaka miwili..maana wanajua wananchi wangeandamana angetoka nje free which is what he is supposed to do. Sisi tukubaliane either tufuate the Sokoine/Kagame route and act on what you know nje ya mahakamami au play ball na sheria and kubali maamuzi and for this particular case, maamuzi yanatakiwa kumwachia jamaa apete. Yaani ushahidi uliowekwa kama ingekuwa nchi nyingine AG au huyo Director wa PCCB angekuwa labda hana kazi. Hamna case pale..mwache jamaa apete, si ndio uwazi mnaotaka bongo. It comes as a package.
ReplyDeletehakuna mwananchi atakae andamana mbona ya richmond na mengineyo wamefyata mkia kwanza yy bora kajenga na yanonekana na kutumika pia je hao wengine mbona wanapeta wamwachie tu arudi uraiani na wananchi wakomae na hao waonyeshe mfano.
ReplyDelete