Viongozi wa Chama Cha Jamii (CCJ) wakimkabidhi majina ya wanachama wa bara na visiwani Mkuu wa Masijala katika ofisi ya msajili wa vyama vya siasa, Bi. Mwajuma Amir. Kutoka kulia ni Naibu Katibu wa chama hicho kwa upande wa Zanzibar, Mh. Ali Hatibu Ali, Katibu Mkuu wa Chama hicho, Mh. Renatus Muabhi, Mwenyekiti wa Chama hicho, Mh. Richard Kiyabo na Katibu Mwenezi Taifa, MNh. Costantine Akitanda. Makabidhiano hayo yamefanyika leo katika ofisi za msajili wa vyama vya siasaMtaa wa Shaaban Robert jijini Dar.
Home
Unlabelled
CCJ yakabidhi majina ya wanachama wake leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
naona wazee wa sisijei,
ReplyDeletechama kitakufa baada ya uchaguzi tu hicho hakuna lolote,hakuna mwana ccm mwenye nguvu anaweza kuhama muda huu, wata mkolimba tu,kiyabo ziiiiiiiiii