Cha kufanya:
Nenda www.tv4africa.com
Jipakulie Player
Install Player kwenye tarakilishi yako
Fungua player
Chagua nchi ya Tanzania, Tizama ITV
Itadumu kwa muda gani?
Nenda www.tv4africa.com
Jipakulie Player
Install Player kwenye tarakilishi yako
Fungua player
Chagua nchi ya Tanzania, Tizama ITV
Itadumu kwa muda gani?
sifahamu ila kwa kipindi hiki ambacho inapatikana, faidi!
Thx for tip: Monsignor Fabby
Thx for tip: Monsignor Fabby


Ni habari njema sana kuweza kuona na kusikiliza habari za nyumbani.
ReplyDeleteila mbona ni kimeo sana.Link inafunguka ya ITV ila mawimbi kibao.Tunaomba wafanyie marekebisho ya connection na bandwidth yake pia
do u have to pay? is it a credible provider, sio mambo ya kuingizana mjini na virus?
ReplyDeleteTunashukuru kwa taarifa. Nimeipata lakini ni chenga tupu. Labda ikizoea itatulia. Hatahivyo, ni mwanzo mzuri.
ReplyDeleteMdau Thanks alot,ITV live.ingawa kuna TV nchi moja(niiweke kapuni) jana usiku ilikuwa ikionyesha vitu vya kusisimua tehe tehe
ReplyDeleteMdau Istanbul
Isije ikawa kama mambo ya clouds FM. Ina kwikwi ya ajabu kupita maelezo!
ReplyDeleteAhsante kwa taarifa hii njema...Ni fanikiwa kuipakuwa lakini haionikani wala kusikika vema. (picha ni mauza mauza tu na sauti ni kwikwi) sijui wenzangu wengine mme expirience nini?
ReplyDeleteHii channel iko down mbaya! Pia watai-lock very soon! Nothing is for free!!!
ReplyDeleteAsante kwa hii link lakini naulizia hii kitu ni live? Nilitaka kuchip in kwa kutumia paypal lakini nimejaribu zote hizo za free naona itv inasema no signal..sijui ruanda hamna kinachoonekana.naogopa nisije nikaliwa hela yangu bila kuona kitu...kuna mtu ameona itv
ReplyDeleteDu Mkuu huku maeneo ya Korea hatuoni kitu zaid ya neno no signal, hahahaha
ReplyDeleteukweli ni kwamba hii kitu ni free, na hii player ina stream kutoka kwenye satellite inayorusha matangazo ya ITV Daima. Hiyo satellite iko down mawimbi yake ndio maana unaona ITV haikamatiki kwa uzuri zaidi.
ReplyDeleteila kwa mdau wa mwanzo hapo unaelewa kinachoendelea. wanahitaji kuongeza bandwidth tuweze kuona live .
Mdau No 5 .
ni maendeleo ingawa mchele mwingi sana.
ReplyDeleteAsante kwa kutuwezesha sisi wadau
ReplyDeleteAsante kwa kutusaidia wadau wenu tuweze kufaidi
ReplyDeleteMashallah for Trial ITV iwe muongozo kwa stesheni zingine kama TVT,TVZ ,Radion ststion na kama walivyotangulia wengine waongeze Bandwith
ReplyDeleteAUNCLE MICHUZI I AM BEGGING YOU TO TELL HIMSELF THAT THE WEBSITES ARE NOT COLLECTIVELY WERKING I HAVE UPLOARD THE PLAYER BUT IT IS NEVER RECOGNISE MY WEB HOWEVER IT IS THE GAME OF CHOICE, I DON`T THINKING THIS ARE GONNA WORKING PROPERLY. I AM VERY FUN FOR IPPMEDIA AND HER MAGAZINE SO LETING ALL OF PEOPLE FUNS OF DALLAS BIG TIME SELEBRATE HOW WE COME TOGETHERNESS.
ReplyDeleteDuh Hapa uchinani kitu live kabisa hakuna chenga wala kidogo, so inaonyesha kabisa.
ReplyDeleteIla nyingine zoote mpaka ulipie duh.
heee mimi ndo nimejaribu kudownload inaniambia it may harm my computer mhhhh! bora ningoje michuzi apost habari za muhimu kuliko kuharibu comps yangu
ReplyDeleteOYA JANA NIMEONA LEO MBONA HATA WEBSITE YENYEWE HAIPATIKANI KAMA KUNA KWENGINE MSAADA BASI.
ReplyDeletenashukuru sana naipata clear ila sauti kidogo ina mikwaruzo.Nikiipata na star tz najilipua
ReplyDeleteebwana kitu kipo clea kinoma hamna hata chenga
ReplyDeleteJana ilikuwa na chenga, kwa sababu ya satellite. Lakini leo nimeingia iko clear, kabisa. Hila nahisi watailock hawa jamaa hakuna kitu cha bure siku hizi.
ReplyDeleteMdau USA.
naona tena rahiiiiiiii rahiiiiiiiii kwa raha zangu Babu Puwa Mengi usije kutubania tu. Nasubiri Taharifa ya Habari Tuone wadau wangapi wamefungiwa maoni yao hahaha. Mzamiaji Ugiriki (Baharia) Juma.
ReplyDeleteShukrani kwa mdau maana inaonekana vizuri sana, na leo hii nimesikiliza taarifa ya habari..Mungu akupe nini zaidi?
ReplyDeleteHata mimi yangu ipo clear sanaaaa. Thanx
ReplyDeleteAsante yeah iko clear leo...
ReplyDeleteUSA
Hapa Italy yaani kitu na Box!!!!!!!!!!! ni raha kwa kwenda mbele! sasa mipira ya simba na yanga sitakosa!!
ReplyDeletesasa mimi hapa Dublin napata sauti very clear, hamna mchele,pumba wala chenga, ila screen ni dark, sioni movement yoyote,ningepata hata chenga ningefurahi kweli
ReplyDeleteHapa Canada siioni wala hainioni, inakuwaje technician???
ReplyDeleteJamani apa Kansas kitu na box thanks ITV kwa kutupa habari za nyumbani, pls msifunge pls
ReplyDeleteThanks Michuzi for good nyuzi
Kitu na BOX!!
ReplyDeletekwangu ina taka pasword me sijajua niweke ipi
ReplyDelete