sehemju ya mahojiano ya Hasheem Thabeet na Mtangazaji wa kipindi cha 'Spoti Leo' Maulidi Baraka wa Kitenge 'Jezi namba 9 mgongoni' usiku wa kuamkia leo
Home
Unlabelled
Hasheem Thabeet aahidi kufanya vyema msimu mpya wa NBA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


hashim kasahau kiswahili tayari??? hahahaha. sasa sisi tulioondoka bongo 10+ yrs itakuwaje tukirudi.lol
ReplyDeleteDu! Yaani mshikaji wangu tayari kuzungumza na kujieleza kwa Kiswahili ishakuwa ngumu!
ReplyDeleteSi bure watu huku ughaibuni hunishangaa nikiongea Kiswahili fasaha cha shuleni, pamoja na miaka kibao ughaibuni.
Hivi ni nini kinacho pelekea sisi vijana kukaa miaka michache tu ughaibuni tunashindwa kuongea lugha mama Kiswahili iliyotukuza kwa ufasaha na kujiamini?!
Mdau
Jijini London.
aaah acha tu sauti yake iko sexiiiiiii yani nasikiliza huku napagawa mieeeeee
ReplyDeletemdau canada
Dogo hajui kiswahili. Gar fillers kibaao,aaah uummm eeehh... Ongea wewe mtoto wa kiume, Mungu kakupa Sauti nzito unailetea pozi.
ReplyDeleteHuyu dogo ataanza kuchemsha sasa hivi tumesikia habari toka Michuzi Jr kwamba ameanza vurugu kwenye clubs za nyumbani kampiga mtama TID sasa hayo ni mambo gani ya super star wa dunia kuanza kujichanganya uswahilini!!! Anapaswa kuwa mfano wa kuigwa kwani habari zikifika huku hawa jamaa watamtema ibakie history. Aje afanye mazoezi aache kujibishoo huko Tanzania atajikuta anaingia mikononi mwa dola na itakuwa tabu tupu!
ReplyDeleteHasheem huu ni ushauri wa bure kwako:-
ReplyDelete1. Achana na mambo ya kula raha sasa hivi, unayonafasi hii ambayo ukishindwa kufanya vizuri NBA wanakutosa mara moja. Sisi wadau wengine hatupo NBA lakini analysis yetu kuhusiana na NBA ni nzuri kuliko wewe unaecheza hiyo NBA.
2. Achana na bongo kwa sasa hivi weka jitihada na mawazo yako asilimia mia moja kwenye game. I mean you can still have fun lakini sio kwa design ya kwenda Billcanas usiku wa manane wakati watu wanaangalia game za LeBron. Hizi raha zipo na zitaendelea kuwepo kwahiyo vumilia kwa sasa.
3. Mwisho naomba ufahamu wewe bado sana katika game hii (I mean that you are not the biggest star in the game), this off season was the time for you to network na wale waliokuwa au ambao bado ni stars so that you can learn from them.
Mdau USA.
HASHEEM ASIPOANGALIA KUJICHANGANYA NA WATU SIO ATAJIHARIBIA,ANAONEKANA NDIO WALE AMBAO NDIO WANANZA KUJUWA BILLZ NA SLIPWAY BASI USHAMBA MTUPU..
ReplyDeleteHASHEEM WEWE MTU UNACHEZA MAREKANI UNAJUWA SHERIA AIVYOKUTUKANA TID WEWE UNGEEONDOKA TU. LEO UNAJIFANYA KISWAHILI HUJUI VIZURI UMEKAA NJE MIAKA 5 TU.. TID NA HASHEEM FANYENI MSAMEHANE MPATANE HATA KAMA HAMTOKUJA KUONGEA TENA. WACHENI TABIA CHAFU. SEIF.
Huyu hovyo tu hana nini wala nini. Karibuni anatemwa na Memphis, NBA siyo lele mama ile.
ReplyDeletewe mdau hapo juu hii habari ya kumla mtama tid iko kwenye mitandao miiingi jamii forums global publishers wameniacha hoi halafu mbona hata huko kwenye timu yake wameshajua na mtandao wa nba umemwaga news na watu wame comment mbofumbofu na michuzi orijino angeweka hiyo story humu ndani pasingetosha
ReplyDeleteNdugu yetu Hashimu Thabiti acha mbwembwe za kujifanya kama vile kiswahili umejifunzia ukubwani. Hicho kiswahili unachozungumza ni cha wale waliojifunzia darasani, wakati wewe umekuja Marekani ukiwa mtu mzima sasa leo hii kiswahili kimekuwa tatizo....?!!!
ReplyDeleteSisi sote tuko hapa US miaka nenda rudi na tunakwenda shule za wenye nchi na wapenzi wetu ni wazawa wa hapa na tunachanganyika na familia za ukweni lakini kiswahili kiko vilevile si mimi bali ni wabongo wote ninaowajua. Sasa vipi hali hii ya uzungumzaji ikutokee wewe peke yako...!!!!???
Hashimu acha maringo... onyesha kwamba wewe hujabadilika kutokana na sifa na fedha..ndipo watu watakupenda zaidi na kukuheshimu..
fedha na sifa si hoja tabia njema ni silaha... wangapi NBA stars walikuwa na fedha na sasa ni maskini... vilevile mdharau cha kwao ni mtumwa.
Sina zaidi nakutakia kila la kheri na mafanikio.
Mdau
Atlanta - USA
Land of Hawks and Braves.
Ukakaa ughaibuni lazima kiswahili usahau kidogo, hasa kama huzungumzi na watu wanaoongea kiswahili mara kwa mara, hiyo inaitwa Lamarck Principals (Law of use and misuse). Kwa hiyo mchunieni kijana, amesahau kweli.
ReplyDeleteNi mimi mwenyewe, MWALAAA....
Hii issue ishaandikwa kwenye magazeti huku..online mpaka balaaa....dogo asipoangalia atachemsha..soma hapa http://www.myfoxmemphis.com/dpp/sports/local_sports/051010-hasheem-thabeet-alleged-altercation
ReplyDeleteAngalia kaka, umebadilisha jina na lugha huijui tena? Inashangaza jinsi wazungu wanavyotamani wangeweza kuzungumza lugha nyingine kama siye, na wewe shule hujaenda wala ki-zungu hukijui na umesahau kiswahili, sasa unakuwa fungu gani? Unatia aibu kweli, kupata sio kujisahau, na sijui kama umepata ama umepatikana hashimu
ReplyDeleteKweli nilikua nawasema watu wanaomsema huyu dogo lakini baada ya kuona hii hadisi ya kuknock out watu nakwambia dogo slow down.
ReplyDeletemambo ya mitandao si ajabu mambo yalikua sio makubwa huko lakini habari zinavyokwenda viral unaona sasa...Wanamichezo siku hizi wanatakiwa kuishi kwa high std. Unazania utapata endorsements kweli kwa mambo ya kupigana pigana hivyo? We mtu mzima sasa unajua huko wasichana watakuchekea cheka tu lakini ujue wanawenyewe.
Ni hayo tu
Mimi nataka kujua Hashim anafanya nini TZ?upo likizo au vipi?
ReplyDeletepili kuhusu yeye kujifanya kusahau kiswahili mimi sishangai kwani ni utoto bado unamsumbua.akikua ataacha
mdau kutoka
Seallte
usa
Haya Hasheem ona waswahili wenzako walivyokuchomea huko MyFox Memphis soma hapa chini:
ReplyDeleteTANZANIA - Memphis Grizzlies center Hasheem Thabeet allegedly was involved in a physical altercation with R&B singer T.I.D this weekend.
According to the web site Swahiliremix.com, Thabeet punched T.I.D in the face, knocking him unconscious.
The incident reportedly began when Thabeet was approached by a lady friend of the singer.
Here is what the web site is reporting:
Tanzanian NBA Basketballer, Hasheem Thabeet leaves R&B Singer, T.I.D seeing stars outside Club Bilicanas over the weekend. Speaking to SwahiliRemix.com, T.I.D said when he was about to leave the nightclub, Hasheem approached and punched him on the face.
He continued to say, the left hook (the only shot he's landed since UCONN!!!!!!) sent him to the floor and ended up unconscious for a few minutes.
When he came to his senses, he found out his mobile was stolen and the Memphis Grizzlies player was nowhere to be seen. He then went to the police to file a case against the player and he was then given a police incident reference number CD/RB/6848/10.
source:http://www.myfoxmemphis.com/dpp/sports/local_sports/051010-hasheem-thabeet-alleged-altercation
Thabeet's Agent Denies Fight Took Place www.myfoxmemphis.com/dpp/sports/nba/grizzlers/05
ReplyDeleteMEMPHIS, Tenn. - The agent for Memphis Grizzlies center Hasheem Thabeet has told the team that an alleged incident involving Thabeet and R&B singer T.I.D never took place.
FOX13 Sports Director Matt Stark spoke with Ugo Udezue, Thabeet's agent, by phone Tuesday night, and Mr. Udezue said the allegations that Hasheem had knocked out the singer were completely false.
Udezue acknowledged that Thabeet was in a nightclub last weekend when an altercation broke out, but that the Grizzlies center was in a private section of the club and being protected by three bodyguards at the time, which is the norm for Thabeet when staying in Tanzania. Udezue says his client was immediately removed from the club, and was stunned later to hear the allegations that he had been involved.
Udezue said he believes the singer made the story up as a publicity stunt, and to get his music played on the radio.
Unajua suala la kudhalilisha ama kupenda magomvi hakuanza leo hata huku USA akiwa bado hajapata chochote alishawahi kumdhalilisha mwanadada huko NJ, kisa kamuuliza kuwa hasalimii siku hizi, jamaa alitaka kunyeyekewa na wakubwa. Alishasahau utu na mila kitambo, na wapambe wake ambao wanamtunza kwa kila anachofanya ni chema hawakumwelekeza, sasa jamaa anakiona.
ReplyDelete