HARDMAN BAADA YA UKIMYA WA ZAIDI YA MIAKA MITATU HARDMAD AMBAYE NI MSANII MAARUFU KATIKA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA HUSUSAN KATIKA MITINDO YA REGGAE NA RAGGA AMREJEA TENA KWA KISHINDO. ALBAMU YAKE YA MWISHO AMBAYO ILIWEZA KUFANYA VIZURI ILIKWENDA KWA JINA LA “NI WEWE”. SAFARI HII MSANII HUYU AMEANZA KWA KUTANGULIZA SINGO YAKE INAYOITWA “UJIO MPYA” AMBAYO KWA SASA IMESHAANZA KUPIGWA KATIKA VITUO MBALIMBALI VYA REDIO NA MUDA SI MREFU ITAWEZA PIA KUONEKANA KWENYE LUNINGA. SINGO HII NI MOJA YA MAANDALIZI YA ALBAMU YAKE INAYOUFUATA AMBAYO IMETAYARISHWA NA JAKOB POLL PRODUZA RAIA WA DENMARK AMBAYE KWA SASA ANAISHI NCHINI TANZANIA. KWA SASA HIVI ALBAMU HIYO IPO KATIKA HATUA ZA MWISHO ZA UKAMILISHAJI UNAOFANYIKA KATIKA STUDIO C4 COPENHAGEN.
MAISHA MUSIC TANZANIA ITAENDELEA KUWAHABARISHA ZAIDI JUU YA MAENDELEO YA ALBAMU HIYO

ENGLISH:
AFTER A SILENCE OF MORE THAN 3 YEARS, HARDMAD IS BACK IN THE GAME! FOR YEARS HE HAS BEEN A NOTABLE FIGURE IN THE REGGAE/RAGGA SCENE IN TANZANIA AND EAST AFRICA AS WELL. HIS LAST ALBUM WHICH DID VERY WELL WENT BY THE TITLE “NI WEWE”. THIS TIME HARDMAD HAS STARTED BY RELEASING HIS SINGLE “UJIO MPYA” AND IS NOW BEING PLAYED BY VARIOUS RADIOS AND THE VIDEO WILL COME OUT SOON. THE SINGLE IS AN INTRODUCTION OF HIS UPCOMING ALBUM PRODUCED BY A DANISH PRODUCER WHO IS BASED IN TANZANIA JAKOB POLL. AT THE MOMENT THE ALBUM IS IS BEING MIXED AND MASTERED AT STUDIO C4 COPENHAGEN.
MAISHA MUSIC TANZANIA WILL CONTINUE TO INFORM YOU ON THE DEVELOPMENTS.

Kwame Mchauru
Maisha Music
PO Box 105094

Dar es Salaam / Tanzania
+255 777 461911
http://www.maishamusic.com/ --
http://www.maishamusic.com
/www.myspace.com
/maishamusictzwww.youtube.com/
maishamusictzwww.twitter.com/
maishamusictzwww.facebook.com/group.php?gid=74932459086

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 28, 2010

    Oya Babu,hiyo nyimbo yako ya "ni wewe" nimekuwa naitafuta sana kwenye net kwa muda lkn sikufanikiwa kuipata.Embu niambie nitaipata wapi hiyo nyimbo? au weka kwenye youtube kamanda wangu wapenzi wako tupate mambo yako. Ni mimi mpenzi wa nyimbo zako.Sweden

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 28, 2010

    Na nyimbo ya Tamala pia weka kwenye youtube.Mdau Sweden

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...