Hei Michuzi!!
Leo tar 27.05.2010 ni siku ya kuzaliwa mtoto Jeremiah Martin. Ametimiza miaka 11. Mimi Anti yake namuombea kwa mwenyenzi mungu ampe uwezo wa kufanya vizuri ktk masomo yake na apunguze michezo....Pia namuombea maisha marefu na afya njema..

Hapo pichani ni mtoto jeremiah
na dada yake Kazumi Nkansami.
Wako Anti Lillian Norway
Wako Anti Lillian Norway
Happy B'day
ReplyDelete(US Blogger)
HAPPY BIRTHDAY JEREMIAH!!
ReplyDeletejamani kweli kiswahili kigumu happy birthday ya kuzaliwa kwani kuna happy birthday ya kufa?duh kazi kwelikweli.
ReplyDeleteHappy birthday Jerremiah au kama tulivyomzoea Bujii. Nimefurahi sana umetimiza miaka 11. Naamini pia bado unaendelea kufanya vizuri katika masomo yako kwa shule yako mpya uliyohamia baada ya kuhama mazazi ya awali. Aunt Lily nakukumbuka pia, I saw you once kwa dadayo mama Bujii wakati unajiandaa kuuhamia Norway with your hubby. Hope life is well there!
ReplyDeletewe anon hapo juu kwani si umeelewa!!kama umechoka beba box hiyo ni shauri yako!!!mie mchagga kiswahili sijui....
ReplyDelete