Shy-Rose Bhaji
Globu ya Jamii inamtakia mwanaharakati Shy-Rose Bhanji hepi besdei ya kuzaliwa kwake njema leo, ikimpongeza kwa juhudi zake kusaidia jamii na kuendeleza libeneke mbalimbali katika jamii ikiwa ni pamoja na michezo, siasa na kadhalika.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 03, 2010

    hongera shyrose Mola akujalie maisha marefu na afya njema

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 03, 2010

    happy birthday dada shy

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 03, 2010

    HAPPI BDAY KWA MWANAHARAKATI BHANJI, NAMUOMBEA NDOTO ZAKE ZITIMIE KWANI ANANIFURAHISHA SANA KWA HARAKATI ZAKE.

    ReplyDelete
  4. umependeza sana sister lakini hukutualika mashabiki wako kwenye pati

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 03, 2010

    best wishes dada

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 03, 2010

    Yule kaka alikuwapo? Au yupo bizeee?

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 03, 2010

    hongera kwa kazi kubwa unayofanya katika jamii endelea hivo hivo na iko siku Mungu atasikia maombi yako. happy birthday shylady

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 04, 2010

    Mwenyezi Mungu akupe kila la heri. MwanaMusoma, Arusha.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...