Rais Jakaya Kikwete akimkaribisha Bi Hellen Clark ambaye ni Msimamizi wa Miradi ya Maendeleo ya Shirika la Kimataifa la UNDP alipofika ofisini kwake Ikulu jijini Dar leo.
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika maongezi na Msimamizi wa Miradi ya Maendeleo ya Shirika la Kimataifa la UNDP,Bi Hellen Clark alipomtembelea Ikulu leo.
Rais Jakaya Kikwete akiwa na Msimamizi wa Miradi ya Maendeleo ya Shirika la Kimataifa la UNDP,Bi Hellen Clark mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo asubuhi Ikulu jijini Dar.(picha na Freddy Maro)


Nashindwa kuelewa hivi rangi ya blue ktk bendera yetu ipi ni sahihi sky blue or deep blue(blue kama iliyo kwa michuziblog)?
ReplyDeleteWe (Tanzanians) are not good in details.
AAH!"MWAJIRI MKUU" MZEE WA MASKANI YA DOSSI NA KATI YA MIGOGO,NAKUONA,UMEPENDEZA NA SUTI YAKO NYEUSI,LAKINI WAFANYAKAZI TUNALIA TUOKOE BABA,TUNAOMBA UTUTOE MKOSI TUFURAHI.
ReplyDeleteby mfanyakazi wa kima cha chini