Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 07, 2010

    Huyu jamaa si yule wanayemuita MCHARUKO?
    Nasikia ni kamanda mwaminifu wa mzee Zuma, na mpambe wake maarufu nchini Afrika ya Kusini...

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 07, 2010

    Mh. Michuzi sijui Mbayuwayu watakuwa wamekusoma kweli.........??!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 07, 2010

    This dude is among the most bogus politicians around, yes I did use the B word. This guy is outright racist!!

    Cha kushangaza ni kwamba ana mashabiki kibao, sina uhakika tatizo la Afrika liko wapi, Viongozi ama Wapiga kura.

    Nadhani ni wapiga kura kwa sababu wao ndio huchagua viongozi.

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 07, 2010

    Mbona sisi tukichanganya kiswahili na kiingereza tunachekana watanzania tumelogwa?

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 07, 2010

    Huyu Kijana ni mdogo lakini ana upeo.

    Tatizo nikwamba, hawatamuachia huyu, kama alivyosema kina Stive Biko nao walikuwa hivi wakammaliza.

    mfano mwingine ni yule Mnigeria Ken Sarowiwa

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 07, 2010

    viva malema juu juu zaidi dogo mwenye uchungu na bondeni africa kwa jumla.dogo yuko juu juu zaidi africa kwa waafrica tu.next prezida bondeni

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 07, 2010

    We need more Patriotic Africans with the likes of Malema! I am definite South Africans are happy with the choice they have made, like we all are! Malema Hoyeee! Africa Hoyeee! ALUTA CONTINUA!

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 08, 2010

    nimefurahi hawa jamaa hawataki kufeki hapa katika mahojiano wanagwa kisamvu badala ya maji ya uhai au coca cola! afrika dumisha mila! japo huyu jamaa is just a nut!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...