watch the guy to the right of sean kignston's table. playing god? hahaha what if he had been sean himself? shame on you brother.....

more videos CLICK HERE

Orodha Kamili ya Tuzo hizo

Mwimbaji bora wa kike
Lady Jaydee

Mwimbani bora wa kiume
Banana Zoro

Albamu bora ya taarab
Daktari wa Mapenzi -Jahazi Mordern taarab

Wimbo Bora wa Taarab
Daktari wa Mapenzi – Jahazi Morden taarab

Wimbo bora wa Kiswahili
Mwana Dar es Salaam – African Stars Band

Albam bora ya Bendi
Mwana Dar es Salaam - African Stars Band

Wimbo bora wa R&B
Kamwambie -Diamond

Wimbo bora asili ya kitanzania
Nikipata nauli - Mrisho Mpoto

Wimbo bora wa Hip Hop
Stimu zimelipiwa - Joh Makini

Wimbo bora wa Reggae
Leo (Reggae remix) -AY

Wimbo bora wa Raga
Bwana misosi - Mungu yuko Bize

Rappa bora aw mwaka (Bendi)
Chokoraa

Msanii bora wa Hip-Hop
Chid Benzi

Wimbo bora wa Afrika Mashariki
Haturudi nyumba - Kidumu FT. Juliana

Mtunzi bora wa nyimbo
Mzee Yusuf

Mtayarishaji bora wa nyimbo
Lamar

Video bora ya muziki ya mwaka
C Pwaa – Problem

Wimbo bora wa Afro Pop
Pii pii (Missing my baby)

Msanii bora anayechipukia
Diamond

Wimbo bora wa kushirikiana
Nipigie -AT-Stara Thomas

Wimbo bora wa Mwaka
Kamwambie -Diamond

WALK OF FAME
1. ZAHIR ZORRO
2. CLOUDS FM

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 15, 2010

    Banana si mwanamuziki na wala hastahili kushinda ile tunzo ya mwanamuziki bora wa kiume. Ebu tujiulize, Banana anaimba kitu gani zaidi ya kupiga kelele? Mnataka kuniambia kuwa Banana animba vizuri shinda Jose Mara ama Chaz Baba? TZ acheni ujinga jamani.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 15, 2010

    ankal misupu siku nyengine ukiona watu kama hao kata makofi tu

    hao ndio wale wanaofurahia kuwa watumwa maana hawapendi kujifanya wao waafrika

    ilitakiwa ajisikie raha sana kupata nafasi ya kujichanganya na nchi za asili yake ajisikie yupo nyumbani

    lakini kwa ujinga wake anajiona kama yeye ndio zaidi shwain huyo

    hongera sana kaka michuzi na wahusika wote wa blog hii kutufikishia kila kinachojili huko nyumbani.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 15, 2010

    hao wapiga picha na wana habari wangewekewa mpango maalum wa kupiga picha na wangepangiwa sehemu ya kusimama kwa chini

    mpango kama huo wanavamia kiholela ni kutia aibu tu na mibegi yao utasema wasafiri

    wangewekewa ukingo maalumu ambao wasitakiwe wauvuke.

    ReplyDelete
  4. Thanks Bro, imetulia nasi twaona huku.

    Said

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 15, 2010

    kweli kabisa hawa wapiga picha (not offendin u Michuzi) wanaharibu atmosphere, ukiangalia tuzo za kimataifa huoni wapiga picha wakipita pita mbele ya wageni. hapo labda stage ingekuwa juu zaidi au watengewe sehemu maalum ambayo itakuwa rahisi wao kupiga picha bila kuwa kinga wageni (that my two shillings)

    ReplyDelete
  6. Ndoto ya mchana,SwedenMay 15, 2010

    Hiyp nyimbo ya AY sio Reggae,lwa nini mnataka kuwadanganya WaTanzania?Tanzania mna wanamuzi mahiri akbisa wa Reggae kama Jhikoman ambaye anajulikana kimataifa.Kwanini wasipewe zawadi watu kama hao na kuenziwa kwa mchango wao wa kuitangazisha Tanzania kwa upande wa Reggae kimataifa.Ndoto ya mchana,Sweden.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 15, 2010

    heheheheheheh! hapa sina mbavi michuzi!!!!1
    kama wabongo mnaiga mambo ya watu (wawest) ina kubidini mufanye kama wenyewe wafanyavyo.

    michuzi huwezi kutembeaga ukumbi mzima na kijikamera chako cha kizembe na kuanza kubughuzi watu.

    ukiwa kama "profeshino photographer" unatambua naongelea nini.

    acha ubagili ,tafuta 400mm na utulie pembeni.

    acha kuuza uzuri !!!!!

    (NAJUAGA KAKA MICHUZI HII UTAITIA KAPUNI ,LAKINI NDIO HIVYO TENA TUNAWAKILISHA)

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 16, 2010

    NILIFIKIRI NI MIMI NIMEONA HILO,HAO WAPIGA PICHA HAPO UKUMBINI NI KERO TUPU,HIVI WAANDAAJI WAMESHINDWA KUWEKA UTARATIBU,WAKO SHAGHALA BAGHALA KILA MAHALI WANAPITAPITA TU KWA KWELI NI EYE SORE

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 16, 2010

    Si kila mtu anapenda kuonekama mwenye tv !!! na sio kama hivyo ulivyo kuwa una chukua mpangilio ulikuwa mbovu ndo maana jamaa akaona kero!! huyo kingston sasa akuimba ama?

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 16, 2010

    kwa kweli hao wapiga picha utaratibu wao ulikuwa ovyo kabisa hata vaa yao utadhani vibaka kwa nini huwa hakunaga utaratibu wa wapiga picha kwanza kabisa kuwa smart na mpangiliomzuri? wahusika next time pangeni mambo kwa uhakika sio kuboa watu .
    michuzi naomba uirushe hii meseji hapana minya hope utakuwa umepiga kifungua kinywa

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 17, 2010

    Yaaani uliyesema wapiga picha wanakuwa kama vibaka iyo ni kweli kabisa na sio wapiga picha tu hata waandishi wa habari sana sana hawa wa magazeti,sisi ofisini kwetu tulikuwa na mkutano wa kujumlisha nchi mbali mbali za Africa na nje ya africa tukawaalika waandishi wa habari jamani mbona hadi tuliona aibu,hawa waandishi walikuja wachafu kupita kiasi,wakinadada ndio usiseme ni wachafu nywele hata kuosha hazijaoshwa,wengine wamekuja na t-shirt ya matangazo mengine zimepauka na jeans,embu fikiria wewe unajua unakwenda kwenye mkutano wa hadhi fulani kwa nini uvae tena mdada t-shirt na jeans? tena zimepauka kwa nini,
    Kaka michuzi wewe uko kwenye industry iyo embu rekebisha watu wenzio wanaaibisha kwa kweli

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 17, 2010

    nampongeza banana zoro, you desrve, and you are so creative, nilipenda show yako on sat, that was gud,

    hivi ni kweli jay dee nidio msichana mwenye kwimba bora ? nauliza maana kidigo si rahisi kwangu kukubali

    tatu, hivi hii show ya kutoa zawadi haiwezekani kuwa inaonyesha kwenye tv live?

    wanaotayarisha music systems na pa, muwe waangalifu show ya jms mlikuwa mnawaboa kundila sean, mzuka wamekuja nao vyombo shali.......punguzeni cheap things, hela mnapata ila mnabania

    the show was gud, na ingekuwa best kama mneaarange bomba do ot hestinate issues.ANITHA LYIMO

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...