Hii ilikuwa leo asubuhi maeneo ya Africana dereva wa iyo gari alikuwa anazifuata bajaji pembeni ya balabala na kuzigonga makusudi uku mvua ikiendelea kunyesha na maji yamejaa balabalani. sijui alikuwa na malengo gani. mwisho wa siku madereva wa bajaji waliamua kuondoka eneo la tukio na kumuacha jamaa na gari lake.
Mdau wa Mbezi Beach



Sema barabara na sio balabala. We vipi umekatika kimeo nini?
ReplyDeletebalabalani? duh ok nimekuelewa si unatokea bala wewe?
ReplyDeleteNI BARABARA NA SI BALABALA HATA HIVYO SI WEWE TU WALA SI KOSA LAKO, BONGO SHULE MBOVU.
ReplyDeleteMdau kama umeweza kuandika GARI vizuri, kwanini umeshindwa kuandika barabara? najiuliza..!!
ReplyDeleteNafikiri mmemwelewa vizuri mdau aliyetoa picha hii.
ReplyDeleteHapo mahala bajaj na pikipiki wanafujo sana ikiwa ni pamoja na pale Makonde Shamo.
Wacha wapate jeuri vile vile maana bajaj na pikipiki wanaziba barabara utafikiri zimejengwa kwa ajili yao.
naona wadau issue meipita mebaki kushikilia tu neno "balabala" neno balabala haikua hoja ya mwandishi....
ReplyDeleteMdau malizia vizuri habari, kusema tu alikuwa kivigonga kwa makusudi vibajaji uja tusaidia. ungetupa sababu ya yeye kufanya hivyo ili tuweze kujua kilichotokea.
ReplyDeleteDuh! haki ya nani yaani nimecheka leo na hizo comments zenu. Eti amekatika kimeo!
ReplyDeletesina mbavu
ReplyDeleteMmh, wabongo bwana! mmeamua kukomaa na neno moja tu, balabala, kwani hamjamuelewa? Kama nyie mnajua Kiswahili mlipata 100% darasa la saba japo ni lugha yetu ya Taifa sisi watanzania? Acheni hizo jamani!
ReplyDelete