mwanae enzi za uhai wake
Familia ya Abdelle Abilahi anawataarifu kisomo cha mdogo wake mpenzi marehemu Yusuf Mohammed Abilahi(kwa jina maarufu NJITI)siku ya jumamosi May 22 2010 saa 9(3:00pm) kisomo kitafanyika Langley Park
address
address
1401 University Blvd,
Hyattsville,
MD,
20783
Wengi tulimpenda Njiti,alikua mcheshi na mtu wa watu,lakini leo Mwenyezi Mungu amempenda zaidi, Mungu iweke roho ya marehemu Njiti pema peponi, Amina.
Who trusts in God lacks nothing,
Kiswahili mwamini mungu si mtovu,
Love is like a cough it cannot be hidden
kwa Kiswahili Mapenzi ni kikohozi, hayawazi kufichika
Every bird flies with its own wings,
Kwa kiswahili kila ndege huruka kwa bawa lake
Where there is a formal mourning, has died a person
Kwa Kiswahili kufa kwa mdomo, ale hutawanyika kunako matanga kumekufa mtu.
The blood of this man shall not go in vain. A wonderful husband and loving father will not go in vain and justice will be served.
Njiti NAKU PENDEA
YOUR LOVING WIFE.......
kwa maelezo na maelekezo
Rashid Mkakile 301 675 8383
Abby Mtulia 240 595 9449
Amran Kilemile 202 680 2388
RIP mdogo wangu Njiti,kifo chako kimenigusa saana,kwani ninakumbuka mwaka 1997 ulivyoingia NY ulikua na mdogo wangu Martin,tulikua tunawasiliana mara kwa mara,nilipopata taarifa za kifo chako nilishtuka sana, poleni wafiwa,pia natoa pole kwa mdogo wangu Martin OHIO, na mdogo wangu Rama NEW JERSEY,Hao ndio walikua wanapambana na life pamoja na marehem mjini NY, Mungu alitoa na sasa ametwaa. Mdau London.
ReplyDeleteso sad jamani.kafanana sana na mwanae.R.I.P Njiti!
ReplyDeletePole sana Abdelle kwa kuondokewa na Mdogo wako njiti.
ReplyDeleteInnah Lillahi Wainnah Ilayhi Rajji`un.
What a loss! Pole sana mama watoto na the little princess kwani hakuna kama mzazi my dear. It is a pain to loose a parent at that young age. Inshaallah tunawaombea kwa mwenyezi mungu awape tahfif katika wakati huu mgumu na mwenyezi mungu amlaze kaka yetu Njiti mahala pema peponi. AMINA
ReplyDeleteMaisha maisha maishaa...Its so sad, Njiti na Abdelle my younghood friends.Nakumbuka tukicheza mpira wote Jengo la umoja wa vijana, one of those sweetest days of life(utotoni0, leo kuona photo Njiti ametuacha! Mungu amlaze mahali Pema peponi. Amina.Pole kwa familia na ndugu wa Marehemu Njiti. Mungu alitoa na ametwaa. Jina lake libarikiwe. Goddy - london UK
ReplyDeletekwa wanafamilia wake poleni sana. Eddy.
ReplyDeleteMwenyezi Mungu amuweke Njiti pahali pema peponi, amin. Delle stay strong, inasikitisha sana. Tidosela, Philadelphia
ReplyDeleteMdogo wangu kifo chako kimtusikitika watu wa washington dc .ulikuwa mtu wapendo ujali mkubwa wala mdogo ,mungu akulaze mahali pema peponi
ReplyDeleteR.I.P Njiti we are all on the same road, you just start and we are follow.
ReplyDeleteMjusi,London
Inshaalah Almighty Allah grants him forgiveness and Al Jannah...
ReplyDelete