Mama yetu mpendwa,leo terehe 9.5.2010 ni miaka 11 toka ututoke.Pengo uliloliacha ni kubwa sana.Uchangamfu wako, ucheshi,uletaji amani, mshikamano na upendo katika familia utakumbukwa nasi wakati wote.Unakumbukwa na kukoswa sana na mumeo,wanao,wakwe zako,wajukuu,ndugu zako na marafiki.
Amen.



wadau mnapotuma picha za wapendwa wenu humu ndani kwa nini hamtoi comment kuwaombea heri? sasa mnazituma za nini humu?? hata we mumaji oyo tuu msihujazie kurasa michuzi sometime wabanie hii halinayo imezidi blogu hii siyo ya misiba ndiyo wote tutakufa ndio wote tuwekwe kwenye blogu! michu tangaza misba hizi kumbukumbu usiweke
ReplyDelete