TANGAZO MAALUM KWA WAKAZI WA WA UGHAIBUNI
KUTOKA URBAN PULSE NA BUZZIE PRODUCTION

Mashabiki na Wapenzi wa filamu wa Kitanzania tunapenda kuwataarifu kuwa tumepokea malalamiko yenu kuhusu ubora DVD za filamu ya £ovely Gamble. Kwamba zina giza na sauti si bora na picha zinacheza. Hili tumelichunguza na kugundua ya kuwa linasababishwa na DVD HARAMIA (PIRATE COPIES) zinazouzwa kinyume ya sheria.

Tunaelewa tatizo hili ni sugu dunia nzima na linawanyima thamani ya utamu wa filamu. Vilevile lina changia kudumisha kiwanda cha uzallishaji wa filamu. Kuepukana na adha hii ,Wazalishaji wa £ovely Gamble wanawaomba na kuwashauri kununua filamu hii kutoka kwa DVD za halali zitakazopatikana kuanzia Jumamosi ya tarehe 29-10-2010 kwenye uzinduzi maaluma wa kuchangia yatima wanao ishi na vijirusi wa UKIMWI nyumbani TANZANIA na kwa wakala maalumu watakao tangazwa rasmi siku hiyo.
WYCLIFFE VENUE
233 KINGS ROAD READING
RG1 4LS.
6.30pm-11.30pm

TCKT IN ADVCE £10 FOR VIP’s SEATS AND £5 FOR STANDARD SEATS.
(*VIP TCK HOLDERS GETS FREE AFTER PARTY PASS*)

WOTE MNAKARIBISHWA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 27, 2010

    inachangia KUDUMISHA au KUDUMAA?? kweli kiswahili kigumu au mimi ndio sijui kiswahili.nijuavyo kudumisha inatokana na neno KUDUMU

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 27, 2010

    he mnaizindua mara ngapi? manake utafikiri ndio sinema ya kwanza duniani hadi mnaboa halafu ati hadi mwezi wa kumi tena mwishoni ndio mnaachia kazi ndio maana wajanja wanawahi ukishazindua kitu achia kazi mnazindua miaka mingapi? kila siku lovely gamble .. lovely gamble! uzeni kazi kabla haijaeksipaya. michuzi bin misupu hii meseji usiibane

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 27, 2010

    FRANK,ushauri wa bure,punguza kuongea na kuuza sura,fanya mambo, mmechelewesha movie kila siku promo hadi watu wamekopi,hadi leo hamjazindua,mnaboa sana,sijaona movie yenu ila walioiona wanasema HAMNA JIPYA,fanyeni kazi muda bado mnao,uwezo naamini mnao,ongezeni bidii mwanzo mgumu i hope mtajifunza zaidi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...