Globu ya Jamii na ile ya 8020 Fashions usiku wa kuamkia leo zimetunukiwa tuzo na kampuni ya Smiling Faces kwenye mnuso wa Red Carpet uliofanyika hoteli ya Regency jijini Dar
ankal akipokea tuzo ya Globu ya Jamii
ankal na Shamim Zeze wa 8020 Fashions (BOFYA HAPA) na tuzo zao
ankal na wadau wakiwa na Mo Racka (kati)
ambaye amenyakua tuzo ya msanii mwenye mvuto
ankal akiwa na ally masabo (wa pili toka kulia, aliyemwakilisha Ras Mwanukuzi ambaye kapata tuzo ya Msanii bora Solo) na dina marios (shoto) na B12 wa Clouds FM. Kipindi anachoongoza Dina Marios cha Leo Tena pamoja na Clouds FM vilituzwa pia
ankal akiwa na ally rhemtullah aliyetuzwa Best Lifetime Achievement Award ya ubunifu wa mitindo. Kulia ni rafikiye Ally Rhemtullah
ankal akila pozi na ankal Kubaga na walimbwende Tete Maria aliyepata tuzo ya modo bora na Sylvia Sharry aliyepata tuzo ya mlimbwende mwenye mvuto







Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 03, 2010

    Tete Maria ode mae, nkiki maa ebu kula kidodo loh! too much sasa imekonda sio kupungua

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 03, 2010

    WATANGANYIKA KWA KUIGA MAMBO!!

    MAMBO YA KUIGA HAYO YA HOLLYWOOD KWENU HAYANA FAIDA YEYOTE ILE!

    MA -AWARD KIBAO WAKATI WATU HATA KULA YAO INAWASHINDA!

    KWANZA HAKIKISHENI NCHI INAONDOKANA NA MARADHI,NJAA,UKAME NA UMASIKINI.THEN BAADAE FANYENI MAMBO YENU YA AWARD!


    NCHI IMEJAA OMBAOMBA HUKU ETI KILA USIKU NI VIJIAWARD.

    KALALENI HUKO!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 03, 2010

    Ankal!
    Hongera sana kwa kunyakuwa tuzo hiyo ya ndani hapo bongo. Kwa kweli unastahili japo hawo watu wa clouds hasa kipindi cha leo tena!! inatia shaka maana nakumbuka wakati nilipokuwa hapo bongo miezi mnne iliyopita kwa mujibu wa masikio yangu nilikuwa nasikia mambo ya WALI NAZI zaidi na machache ya maana ya kueleimisha jamii. Any way kwakuwa tuzo yenyewe ni yakupeana matumaini sii haba lakini blog ya jamii haikustahili kushirikishwa tuzo ya level hiyo siku zote kilicho bora hushindanishwa na kitu bora zaidiiiii

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 03, 2010

    i am just wondering if people really know what's the meaning of "lifetime achiever". A person who is young and in peak of his/her career is usually not recognized as lifetime achiever until a few decades later. If we need to copy Hollywood, at least let's copy them properly.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 03, 2010

    nakubaliana na mdau wa Mon May 03, 11:20:00 AM ila ningeliongeza kuwa kwa tabia hii ya kukopi kila kitu wananchi wa nchi nyengine wanazidi kutucheka, itakuwaje kijana mdogo anapata tunzo ya lifetime achiever? halafu mashemegi zetu wakisema hatuna elimu au hatujui kiingilishi tunanuna, wakati huo huo tunaruhusu mambo kama haya kutokea tanzania. AIBU TUPU!

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 03, 2010

    mdau wa Mon May 03, 10:15:00 AM ulianza point zako vizuri na nilikuwa nakubaliana nawe hadi pale ulipobase points zako kuwa tanzania kuna omba omba wengi.

    Hapo umekosea kwani nchi zote zinazotowa ma award (amerika, uk, india n.k.) zote zina omba omba tele na ma homeless kibao, so hiyo point yako ni dhaifu mno.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 03, 2010

    Na nyie mlikuwa wapi msiseme kabla haijafanyika hiyo awards, mnasema saa hizi TOOOOOOOOOOOO LATE, kwani walioenda kupewa hizo awards hawakujua? acheni longolongo, hampendi maendeleo ya watu, lazima watu wapewe motisha. BIG UP Smiling Faces tuleteeni na nyingine nyingi zaidi.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 03, 2010

    Ankal unaonekana umechoooka, au ndio kipigo cha anfield jana?

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 03, 2010

    HONGERA MICHUZI NA DA SHAMIM...

    Ni furaha kubwa kuona kampuni ya SMILLING FACES imeonyesha mfano mzuri wa tunzo kwa mkuu wa jamii na mama mitindo ya mavazi.
    Haya ni maendeleo yanayotakiwa kuendelezwa na kampuni zingine kwa
    kuwapongeza na kuwatunukia zawadi mbali mbali kwa wote wanaotuletea maendeleo mbali mbali katika taifa
    Kila la kheri mkuu Michuzi na Da Shamim

    Mickey Jones
    Denmark

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 03, 2010

    Hiki ni kitu kizuri. Kama India na USA (ambazo zinatoa 30%za filamu na 10% za muziki duniani) zingelingoja ombaomba na homeless wamalizike kabla ya kutoa awards, basi kusingelikuwa na oscars na zawadi nyinginezo. Tuwazawadie wanaofanya vizuri katika fani zao, whether tunaiga au la. Wahenga wamesema: MCHEZA KWAO HUTUZWA!!!! Congrats!!!

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 03, 2010

    BALOZI WHERE IS ZE FULANAZZZZZZZ

    MDAU

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 03, 2010

    hahahahahaha Best Kind Designer (may be I dont know Kiinglishi hahahaha) halafu Lifetime Achievement Award (hahahahaha jamani tuwe tunauliza mweeeeeee), Fide ana mvuto?hahahahaha tena Model?hahahaha na Tete hiyo modelling anafanyia wapi....mhhhhh Best Male Model..mdogo wa mwandaaji jamani jamani khaaaaa, acha nicheke bongo tambarare haya endeleeni hivyo hivyo na ujinga wenu wa kutotaka kujifunza maana hata kuhoji uhalali wa tuzo na vigezo naona uvivu kama hata lugha mliyotumia hamuijui, bora mngeandika kwa kiswahili maana labda mgejua mnakosea mwe

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 03, 2010

    kweli ankal tunaifurahia kazi yako lkn mtu mzima kwenye swala dressing upo nyuma sana kama vp daaah mwambie aunt afanye mambo ahakikishe before you go somewhere just wear a nice a gud dressing man maana km occasion ya sampuli hii halafu unavaa hivyo siyo yenyewe

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 03, 2010

    Hongera ankal mwaya... kuiga si kuiga lakini imefana... wao mbona wameiga kuishi ulaya hawataki kurudi nchini na kujenga Taifa.. mkae kimya ukoloni mambo leo yamewakolea... Big ups woooote mliopata tunzo... Mungu ibariki TZ Mungu ibariki Africa

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 03, 2010

    naniniu ze mshindi wa mvuto huyo mo racka aisee he is veli handsome jamani ah is he single?ankali naomba contacti zake basi mwe

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...