Naibu Waziri wa Maendeleo ya jamii , jinsia na Watoto,Dkt Lucy Nkya (katikati) akitoa maelezo juu ya maadhimisho ya siku ya familia Duniani ambayo yatafanyika nchini kote leo 15.5.2010. Wengine ni Kaimu Katibbu Mkuu wa Wizara hiyo Marcel Katemba(kushoto) na Mkurugenzi Msaidizi wa sehemu ya familia kutoka Wizara hiyo Rose Minja(kulia)

Hii siku ingetakiwa kuwakumbusha kuwa familia ni baba mama na watoto. Watoto wengi TZ wanakua bila baba. Na baba wengine wanajua wanamtoto lakini hawataki kujionyesha kuogopa kumlea mtoto wake. Na hatimaye mtoto anakua bila guidness na wengine mpaka wakienda sekondari ndio wanyewe wanajitahidi kuwatafuta baba zaoa...Aibu wanaume wakitanzania we need to be responsible...Just imagine baba yako na yeye angekukimbia ingekuaje???
ReplyDelete