JK akiwa katika picha ya pamoja na Wah. Majaji wa Afrika Mashariki baada ya kufungua mkutano wao jana hoteli ya Ngurdoto jijini A-Taun
Jaji Mkuu wa Tanzania Mh. Augustine Ramadhani akiwa na mdau Emmanuel Mamuya aliyekuwa refa wa mpambano wa soka kati ya Wah. Majaji wa Kenya na Tanzania kwenye uwanja wa Ngurdoto baada ya mkutano. Mdau Mamuya ni meneja wa IT na mikutano hapo hotelini. Mh Jaji mkuu ni mpenzi sana wa michezo. Yeye ni mlezi wa chama cha Basketball nchini na enzi zake aliwahi kucheza sana mchezo huu hadi timu ya taifa

Mh. Jaji Bernard Luanda wa Tanzania akipiga free kick wakati wa gemu dhidi ya Kenya. Ikumbukwe Mh. Luanda keshapigia Taifa Staras na Simba akiwa kiungo hodari sana. Hadi leo yuko fiti ila basi tu majukumu yamemtinga. Katika mchezo huu Tanzania ilishinda 3-0
Wooow! Is that Lord Justice with a white cap, Judge nanihii? Long time no see!
ReplyDeleteHongereni kwa kuifunga Lords Justice Harambee Stars.
Lords Justice wa Taifa Stars waiongozwa na P. D. G wao the Chief Justice mpo Juuu!
Lords Justices, sorry, na siyo Lords Justice.
ReplyDeleteNa ni wakiongozwa, na si waiongozwa.
Mpo juu.
kwakuwa ni majaji basi walifata sheria zaidi. hawakuhitaji referee.
ReplyDeletembona wote wamevaa jezi zinazofanana
ReplyDeleteLakini, mbona jezi zinafanana, Lords Justices wa Kenya si watapata sababu ya kulalamikia ushindi???
ReplyDeleteNasikia ma-jaji wa Harambe Star (Star)hawakuridhishwa na Ushindi wa Ma-jaji wa Taifa Star (Tanzania), wanadai eti refa amewapendelea taifa Star, hivyo wa lodge appeal kwenye East African Court..hata sijui hukumu itakuwaje!
ReplyDeleteHayo matumbo yanaeleza kila kitu!!
ReplyDeleteMdau Imma vp?? za masiku?? Mbona Globu yako siku nyingi haijawa updated???
ReplyDeleteworry not kaka nimekupata nita uptade siku si nyingi mambo ni mengi tu si unajua maisha mapambano?
ReplyDelete