Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 29, 2010

    Ndio Cheza gani hiyo anazidiwa na Emolo!!! !

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 29, 2010

    hamtaki kufanya kazi,kazi kukaa kwenye starehe nchi inaharibiki shenzi kabisa,bonanza bonanza na mtanzania wapi na wapi,hizo hela mnazotumia ni za rushwa tu,ndio maana jakaya anasema kima cha chini kilichopo sasa kinawatosha maana kila akiwaangalia mnakula bata kila kukicha.

    ReplyDelete
  3. Candid ScopeMay 29, 2010

    Tunalalamikia serikali kuongeza mishahara ili kuongeza matanuzi? Muda huo na pesa hizo tungetumia kwenda kulima shamba pembezoni mwa jiji lingesaidia kuongea pato letu kifamilia lakini badala yake watoto wanalia njaa nyumbani na baba niko na moja moto moja baridi kwa mguu wa kuku, kesho nashika bongo kushinikiza serikali iongeze mishahara.

    Kwa kweli starehe bongo zimezidi mno kulinganisha na uwajibikaji. Na pengine tunafikiria ongeza biashara za starehe ambazo hazikuzi uchumi ili utumiaji wa tulicho nacho. Tungefungua akili kubuni mikakati ya uzalishaji viwandani na mashamani badala ya kufungua mabar na majumba ya starehe kila kukicha.

    Ni rahisi kwetu bongo mtu kukutembeza kwenye maraha kama hayo badala ya kuonyesha sehemu za uzalisha au ujasirimali wa uzalishaji mashambani.

    Viwanda vingi vinaweza funguliwa kama ukulima unapata kipaumbele na hivyo usindikaji wa vyakula wenye kulinda afya za watu na kukuza uchumi.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 29, 2010

    TANZANIA BWANA!!!!!!!!!!!!!!, NI NINI SASA HIYO. ONA HUO UMATI, MCHANGANYIKO, WATOTO, KINYWAJI, MUZIKI WA WATU WAZIMA! SIONI HATA MAANA YAKE KABISA. HII TABIA YA KURUHUSU MAMBO YA WATU WAZIMA KILEVI NA MUZIKI WA WATU WAZIMA NJE NJE NI BALAA KUBWA KWA NCHI YETU. ANAYERUHUSU HII HALI NI NANI LAKINI????????? NI WAPI KUTAKUWA NA KIZUIO CHA WALIO CHINI YA MIAKA 14 HAWARUHUSIWI KAMA NI HOLELA TU????. NA HAPO UNAONA WATU NA HESHIMA ZAO, WATOTO WAO WAMEWAACHA, LAKINI HAWASHITUKI KUWAONA WA WENZAO!!!!!!!!!! MAMA SALMA UNA KAZI MAMAANGU. ZUIENI HII HALI. TANZANIA HIVI SASA BIASHARA NI BAA AU GROCERY!!!!!!!!, ZUIENI HII HALI.
    HIVI NI NANI LAKINI ALIFIKA MAHALI AKARUHUSU LEADERS CLUB KUWA NI KAJIACHIENI!!!!!!!!!!!!. MAANA YAKE HAIPO TENA NA HAKUNA ANAYEONA UMUHIMU WAKE. VIONGOZI WETU HAWAKUTANI TENA NA KUJADILIANA MAMBO NJE YA OFFICE. YAAH!!! NI KWA SABABU VIONGOZI SASA MAKAZI YA0 YAMETAPAKAA JIJI LOTE LA DAR ES SALAAM, SIYO RAHISI KUKUTANA CLUB TENA.
    LAKINI PIA HII BONANZA KILA SIKU MAANA YAKE NI NINI!!!!!!!! KUNA MTU AMESHINDWA KAZI.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 29, 2010

    Tarehe Sat May 29, 10:54:00 AM, Mtoa Maoni: Anonymous


    Mjomba umeonge kweli kabisa!tungekuwa tuna juhudi za kujenga nchi kama za kushiriki kwenye hizo bonanza. bongo hingekuwa kama ulaya vile!! hila kazi mpendi na hamuwezi kufanya bali ku babaisha tu humo ma ofisini !! mimi nashangaa hata hiyo mishaara mnalipwa ya nini?? ma ofisini mna fikiria tu kuiba tu! mimi namuomba mweshimiwa rahisi kama kweli anataka kujenga nchi hinabidi awa change wa tanzania ki lazima !! ma bar yafungwe !! bia ziwe zina uzwa ma hotelini tu na kwa bei ya kuwaumiza!!

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 29, 2010

    Hakuna cha maana katika ncheza yake. Isipokuwa ninachokiona mimi ni udhalilishaji uliofanywa na Chokolaa wa kuiga kucheza naye kichura kuonyesha ufupi wa huyo dada.

    Ni kama kuongea na mtu mwenye tatizo la sauti (Bubu) halafu nawe unajifanya kutoa sauti isiyo ya kawaida.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...