Warembo wa Miss Arusha City Center 2010 wakiwa katika picha ya pamoja
Warembo wa Miss Arusha City Center 2010 wakiwa katika mazoezi ya pamoja wakisubiri kinyang'anyiro kitakachofanyika hapo kesho ijumaa tarehe 7 mei 2010 katika hoteli ya Naura Springs jijini Arusha.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 06, 2010

    picha ya kwanza mdada wa tatu huyo ndo mshindi nakupa baraka zoote
    former miss arusha
    canada

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 06, 2010

    Mwe!! Mbona kila mwaka washiriki ni wale walee?? Au mijicho yangu tu!!

    ReplyDelete
  3. Kaka hapa ndo umenena,

    Tunakuomba tu usitusahau watakapokwenda UFUKWENI, maana wengine ulevi wetu uko huko ufukweni huko!

    Pliiz

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 07, 2010

    Ebwana wewe..!!! Bongo kwa kweli tumebarikiwa kwa midemu mikali sana..Duh nimekubali, watoto wazuri sana.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 07, 2010

    koma kuita mwanamke demu!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...