
ORIGINAL ALLOYS!
LOOKS & RUNS GREAT!
VERY CLEAN INTERIOR!
MINT CONDITION!
Descriptions are:
Displacement 1,300 cc
Steering Right
Transmission Automatic
Fuel Gasoline/Petrol
Anti-Lock Brakes / Driver Airbag / Passenger Airbag / Power Windows / Rear Window Defroster / Rear Window Wiper / Tinted Glass / A/C:front / Power Steering / Remote Keyless Entry / Tilt Wheel / Alloy Wheels / Power Door Locks / Power Mirrors / No accidents
Price : 7,500,000 and still Negotiable
gari nzima imeonyeshwa nyuma tu
ReplyDeleteNakubaliana na mdau hapo juu. Hata hivyo hizi picha zinaonyesha zilipigwa mwaka jana na haijaelezwa kama limeshaendeshwa hapa bongo au liko bandarini. Kikubwa zaidi kilometa hazijaandikwa
ReplyDeletekaa mkate wa boflo!
ReplyDeleteEee Bwana Michuzi me natafuta Toyota Town Ace Noah, Super Extra Limo, ya mwaka ama 2000 au 2001, iwe imetembea km kuanzia 75,000 kurudi chini.
ReplyDeleteKama kuna mtu analo au anajua nitakapoweza kulipata aseme ili nimpatie contacts zangu.
Ahsante
huyo jamaa aliyesema kama mkate wa boflo ujue ni muunguja ashazoea kula uroja kwa boflo kwa haji tumbo!!!
ReplyDelete