KUTAKUWA NA MKUTANO WA INJILI MJINI WASHINGTON DC UTAKAOHUDUMIWA NA MCHUNGAJI CHRISTOPHER MWAKASEGE NA MAMA DIANA MWAKASEGE
MAHALI:BETHEL CHURCH
8242 GEORGIA AVENUE
SILVERSPRING,
MD 20910

MUDA:SAA 1 USIKU (7PM)


MGENI RASMI
BALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI
MHESHIMIWA OMBENI SEFUE


KWA MAELEKEZO PIGA SIMU
240 706 0351
240 338 4917

MAOMBEZI KWA WATU BINAFSI NA TAIFA YATAFANYIKA WOTE MNAKARIBISHWA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 31, 2010

    Tunashukuru kwa tangazo lakini mbona hakuna siku? tuambieni basi ni siku gani ndugu wahusika.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 31, 2010

    mdau click kwenye hiyo logo ya kijani picha ita inlarge then utaona ni wapi wametoa info za kutosha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...