Mkurugenzi Mkuu wa taasisi ya kuboresha mazingira ya uwekezaji barani Afrika (ICF), Omari Issa akifungua mkutano wa siku tatu unaofanyika katika hoteli ya Hilton Double Tree iliyopo kandokando ya ufukwe wa bahari ya hindi maeneo ya Masaki jijini Dar es Salaam leo. Mkutano huo unahudhuriwa na viongozi mbalimbali mashuhuri kutoka Afrika, wafanyabiashara wakubwa pamoja na wafanyabiashara wadogo. Katika mkutano huo pia Rais mstaafu wa awamu ya tatuMh. Benjamini William Mkapa na Rais mstaafu wa Botswana, Mh. Festus Mogae, pia walihudhuria
Home
Unlabelled
Mkutano wa kuboresha mazingira ya uwekezaji barani Afrika waanza leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Mbona Mkapa anavaa funguo shingoni, kunani....?
ReplyDelete