Mkufunzi kutoka Mradi wa ‘CHAMPION’, unaofadhiliwa na Shirika la Misaada ya Maendeleo la Watu wa Marekani USAID, chini ya Shirika lisilo la Kiserikali EngenderHealth, Sara Teri , akiendesha mafunzo kwa waandishi wa habari kuhusu maambukizi ya Ukimwi iliyofanyika jijini Dar
Mwandishi na Mtangazaji mwandamizi wa Kituo cha Televisheni cha Channel Ten, Salum Mwalim, akichangia mada wakati wa Semina ya kuwajengea uwezo wanahabari juu ya masula ya Ukimwi na Afya ya uzazi chini ya mradi wa CHAMPION- unaoendeshwa na shirika lisilo la kiserikali la EngenderHealth kwa ufadhili wa USAID iliyofanuyika jijini Dar.

Mkufunzi wa Mradi wa CHAMPION, unaofadhiliwa na Shirika la Misaada ya Maendeleo la Watu wa Marekani USAID, chini ya Shirika lisilo la Kiserikali, EngenderHealth, Dk. Ben Ngoye, akiendesha mafunzo kwa waandishi wa habari kuhusu maambukizi ya Ukimwi iliyofanyika jijini Dar

Mkufunzi wa Mradi wa CHAMPION, unaofadhiliwa na Shirika la Misaada ya Maendeleo la Watu wa Marekani USAID, chini ya Shirika lisilo la Kiserikali, EngenderHealth, Dk. Ben Ngoye, akiendesha mafunzo hayo kwa waandishi
Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria Semina ya kuwajengea uwezo wanahabari juu ya masula ya Ukimwi na Afya ya uzazi chini ya mradi wa CHAMPION- unaoendeshwa na shirika lisilo la kiserikali la EngenderHealth kwa ufadhili wa USAID iliyofanuyika jana jijini Dar




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...