Home
Unlabelled
MTARAJIWA MARIAM APENDEZA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
dada mmependeza sana eheh, mmemsahau mama mashauzi kwenye picha ha ha ha
ReplyDeletehongera zako bibie,kina dada jitahidini kutafuta wenza mapema mkiwa mashuleni(vyuoni)maisha sio kukomalia vitabu tu hadi umri stahiki wa kupata watoto (23-27yrs) unakatika mnakata mishule tu. huu ni ushauri wa bure.jifunzeni kutafuta wachumba sio hadi mfuatwe.
ReplyDeleteMariam ndio nani hapa mjini?
ReplyDeleteHivi Shamim una mme? Mimi kwa kweli nakuzimia sana. Nimekuona mara nyingi tu lakini mhh ndo zile mtu unafreeze. Poa bwana I guess kama namna gani one day tutakutana tu!!
ReplyDeleteWewe Anon wa 31 May 2010, 02:50 PM, NI MSHAMBA WA WASHAMBA. TUONDOLEE ULIMBUKENI WAKO HAPA...MNAJIFAYA WATU MAARUFU, WEWE NI NANI HAPA MJINI...HII NI BLOG YA WATU SIO YA MANYANG'AU KAMA WEWE!
ReplyDeletemaswali mengine bwana, anony mon may 31, 02:50:00 Pm wakisema waliouliza maswali kwa michuzi na wewe unajihesabu?
ReplyDeleteeti mariam ndio nani hapa mjini. jibu ni mariam ndio mariam hapa mjini.
Kwani Jide yeye kavaa theme gani? Mi sijaelewa.
ReplyDeleteKwani mtu anatakiwa awe nani ili aweke picha zake huku. Mariam ni Mtanzania aliye na watu wanaompenda nakumjali and she does the same. That is all that counts in this world. Watanzania acheni ujinga nani kama nani!?? Sio bure we are one of the most poorest countries maana hata akili zetu hazina cha maana chakufikiri nakusema.Michuzi usiibanie.
ReplyDeleteMama mashauzi alikaa dakika ishirini tu ndio maana walimsahau
ReplyDeletewewe anon wa Mon May 31, 02:25:00 PM ushauri gani huo unaoutowa? kwani ni lazima mtu aolewe akiwa na range ya umri uliouweka? Kwani lengo zima la kuolewa ni kuzaa watoto tu? what about true love and happiness?
ReplyDeletementality yako ya kuwa mwanamke ni lazima aelewe mapema ndio inayowafanya wanawake wengi wagande na wanaume wanao mistreat them yote shauri ya kuwa ni bora kuwa umeolewa kuliko kuwa single.
Wanawake wenye mentality kama yako ndio wanaowafanya wanaume wengi wakitanzania hadi leo kutothamini ndoa zao, kwani wanajuwa fika hata awe na affairs ngapi mkewe hatoondoka nyumbani kwa kuwa ni aibu kutokuwa na mume! Matokeo yake wanawake wengi wanaambukizwa magonjwa ya uasherati, sio kwa sababu ya kuwa wao ndio viruka njia bali ni waume zao.
Statistics zipo angalieni utaona ni idadi kubwa ya wanawake wanaoambizwa aids na waume zao kuliko wanaume wanaoambukizwa aids na wake zao, kwa nini? Jawabu ni mentality kama ya mdau wa Mon May 31, 02:25:00 PM
Unadhani ni lini wanawake wataweza kujigombowa kuwa independent, kuwa na uwezo wa kuwa na maamuzi yao wenyewe na kujijengea maisha bora na kizazi chao bila ya kujituma kimaso na kikazi?
anon wa may 31 07:49:00PM nadhani umechanganya habari kunielewa,tunapo zungumzia prime age ya kufanya jambo flani inabidi tuwe na factors zinazo sababisha kusema hivyo.na ushauri wangu haujasema mwanamke aolewe awe mistreated. tunapo zungumzia jamba flani tunazingatia mazingira halisi sio imaginary.
ReplyDeletekwa mfano wanawake kujikomboa na kuwa independent sijui unalenga kiuchumi,kisiasa,ki mila na desturi au kidini n.k,kama nikiuchumi kuolewa hakumzuii mwanamke kujikomboa kiuchumi,ikiwa nipamoja na kuendelea kusoma akiwa ktk ndoa yake. mbona huku wasichana wengi wanaolewa wakiwa vyuoni,tena wengine huzaa na kuchukuwa academic leave kisha baadae kuendelea.
swala la kuambukizwa HIV huwezi kusema unakwepa kuolewa ili usiambukizwe,hiyo ni phorbia ambayo ni base less,nisawa na kusema unaogopa kusafiri kwakuwa unaogopa kufa kwa ajali. ufuska ni hulka ya mtu tu,awe kaoa au hajaoa kaolewa au la bado kama ni fuska atabaki kuwa fuska.
hapa umri wa kuzaa unazingatia vigezo vya kiafya kwa mama na kwa mtoto mtarajiwa. swala la kuolewa sio kuzaa hilo nijambo jingine.ukumbuke kuwa kila mmoja anamipango yake na ktk maisha never say never,leo unaweza kuwa na mtizamo flani na kesho ukawa na mtizamo tofauti kutokana na mazingira husika.
siungani na wazo lako la kutaka wanawake wazeeke bila kuwa na ndoa zao,kila jambo linawakati wake,swala la kunyanyaswa linatakiwa kupigwa vita kwa njia stahiki ikiwa ni pamoja na kuelimisha jamii,kuzingatia sheria nk.
statistics zako mimi sina cha kuzungumzia maana sijafanya utafiti huko,ila nachokifahamu ni kwamba maambukizi ya HIV kwa nchi za kiafrika nikweli yanakuwa fostered na promisquity,japo pia njia nyingine kama elimu duni ya kujikinga na kutoambukiza/ambukizwa kwa njia zingine tofauti na kujamiiana pia haitoshelezi.na hilo haliwezi kufanya watu kuogopa ndoa.
kuhusu watu kutokaa ktk ndoa,nadhani wewe ni shahidi wa matokeo yake,nadhani unafahamu kabisa kwamba ufa unapoanza matokeo yake ni ukuta kubomoka.
watoto wasiolelewa ktk ndoa wanakosa mengi ktk maisha,na matokeo ya makuzi yao huwa yanakuwa reflected ktk maisha yao ya baadaye ama directly au indirectly sitaki kuzungumzia sana.
mentality yangu ni hii,kila mwanamke aliye zaliwa anahaki ya kuolewa ktk umri ambao naturaly unamuwezesha kiafya kupata watoto wenye afya bora na bila kumdhuru afya yake kama ana lengo na akajaliwa na muumba kulitimiza lengo lake hilo la kuzaa.maana kuzaana ndiyo ultimate perfection ya kiumbe hai chochote hapa duniani kwa lengo la kuendeleza species. kinyume na hapo inakuwa kuna sababu ambazo haziepukiki zilizopelekea kiumbe husika kutofikia hilo lengo.
sa wee anon unaelalamika eti wanawake bora wawe single kuliko kuolewa unafikiria wakiwa single ndipo wataepuka kuambukizwa virusi?
ReplyDeletesasa watakuwa wanajikidhia mahitaji yao ya kiphysiolojia kwa njia ambazo sio natural au unawashauri waweje? mi naungana na anon aliyesema kama wanaweza kutafuta wachumba mapema n bora wafanye hivyo na waolewe na kupata watoto mwaya mapema!!
sioni raha ya kuhangaika wee kutafuta pesa tu huku maisha mengine yanakupita pembeni,una balansi huku unamaisha ya ndoa,huku unasoma,huku unachakarika kutafuta fedha life linakwenda maana maisha yenyewe mafupi,angalau uwasomeshe wanao ungali una nguvu bado,sio uko kijibibi au kibabu ndo unaanza kusomesha wajukuu shule ya msingi.
kuhusu true love unayosema hizo ni theory tu kuwa uyaone usiombe yakukute.chakuzaa ni chakuzaa tu hata kama kibaya ni damu yako tu.
uhru unakuja tu ukiweza kuongea vizuri na kumuelimisha mshefa wako kama hajaelimika hadi leo hii,chamsingi hekima tu,na akibisha sana kujifanya katili sheria inamrudisha kwenye line life linasogea full love!hahaha wacha wee mweee!!1
EH MWANAWANI WA KUJITETEA UMEJITETEA, NINAKUKUBALI. UMETOA HOJA BOMBA NONDO TRUE TRUE YAAN!
ReplyDeleteWOW!
ReplyDeleteHONGERA SANA NDUGU YANGU ULIYEFAFANUA SUALA LA NDOA PAMOJA NA KUTUPIWA MADONGO ILE MBAYA NA MRUSHA MADONGO ANAECHUKIA KUOLEWA!!
SI MARA NYINGI KATIKA ULIMWENGU WA SASA KUKUTA MTU MWEREVU ANAEWEZA KUTAFAKARI NA KUCHAMBUA YALE ANAYOSIKIA. WENGI HUWA TUNAANGUKIA KATIKA TABIA YA KUSEMA TUNAYOSIKIA TU BILA KUYACHAMBUA.
NASEMA HIVYO NIKILENGA KATIKA HILI WIMBI LA WIMBO WA KUCHUKIA KUOLEWA MAPEMA, WIMBO UNAOIMBWA KARIBU KILA KONA YA ULIMWENGU KWA VISINGIZIO VINGI VISIVYOINGIA AKILINI.
MASKINI JAMII BILA KUJIJUA IMEJIINGIZA KATIKA MKUMBO WA KUSHIRIKI KUIMBA WIMBO HUU WA FEDHEHA, NA MATOKEO YAKE, HASA KATIKA NCHI ZA ULIMWENGU WA KWANZA HUKU TUNAKOISHI, NDOA IMENYANYAPALIWA.
WASICHANA WENGI WANAHIARI KUWA PUBLIC PROPERTY WAKIPIGWA PIGWA MATEKE HUKU NA KULE KULIKO KUINGIA KATIKA MIKATABA YA KINDOA.
NA HUKO KWENYE DUNIA YA TATU, DUNIA YA KUIGA IGA, MAMBO NDIO HAYO, NA TAKWIMU FEKI NDIO HIZO.
ETI KUOLEWA NI KUTAWALIWA NA KUKOSA UHURU.
ETI KUOLEWA NI KUAMBUKIZWA UKIMWI.
ETI UKIOLEWA HUTASOMA TENA.
ETI KUZAA NI DOSARI YA MAISHA.
ETI KUOLEWA NI KUKOSA FUTURE NA MSIMAMO.
ORODHA NI NDEFU INGAWA KWA HAKIKA HAINA MBELE WALA NYUMA.
KWA WATETEZI WA HOJA HIYO, KUOLEWA MAANA YAKE NI KUISHIWA. KWAMBA NI USHAMBA, UKOSEFU WA KUZINGATIA.
MENTALITY NI KITU BORA SANA, LAKINI FREE MENTALITY NI KITU BORA ZAIDI.
MWANDISHI ALIYEMRUSHIA MADONGO YULE ANAEUNGA MKONO SUALA LA KUOLEWA ANADHANI ANA MENTALITY, LAKINI KUMBE HANA FREE MENTALITY. ANAIMBA NYIMBO ALIZOSIKIA ZINAIMBWA, LAKINI BILA KWANZA KUWA NA UHURU WA KUZICHAMBUA.
KWANGU MIMI YEYE NDIE AMEKOSA MENTALITY HATA KIDOGO.
HUKU ULAYA WATAALAMU WA ELIMU NA TABIA WANAKIRI KUWA KUPOROMOKA KWA VIWANGO VYA ELIMU YA WATOTO NA KUPOROMOKA MAADILI KWA KIWANGO KIKUBWA KUMECHANGIWA NA FAMILIA ZA MZAZI MMOJA, HASA ZINAZOKOSA UWEPO WA BABA.
KWA UPANDE MWENGINE, WAUMINI WA DINI KUU ZOTE DUNIANI WATANUKUU MAANDIKO YAO KUWA MAISHA YA NDOA NDIO UKAMILIFU WA BINADAMU. NDIO MPANGO WA MUNGU MUUMBA.
NA HAKUNA MTAALAMU YOYOTE MWENYE FREE MENTALITY ATAEKWAMBIA KUWA MAFUNDISHO HAYO YAMEPITWA NA WAKATI.
Mndengereko, Ukerewe
anon umeshindwa kunielewa kabisa na sijui kama kuna haja ya mimi kuendelea na mjadala huu na wewe. Sijasema kuwa wanawake waepuke kuolewa ili wasiambukizwe ukimwi na pia nilichosema ni kuwa hakuna haja ya kuweka kipa umbele kuwa uwe ushaolewa ukiwa na age range ulioitaja. Mentality hiyo ndio inayowafanya wanawake wengii tanzania kuwa kama watumwa kwa wanaume. sisemi zaidi
ReplyDeletewe anony unayelazimisha hoja zako za wananawake kuolewa na kuzaa kwenye hiyo age range naona unahitaji msaada wa kisaokolojia. aliyekwambia ukizaa baada ya hiyo age ya 23-27 kutakuwa na matatizo ni nani? matatizo yanatokea at any age range and for your info inategemea na afya ya couple na family health history ya both sides.kwahiyo acha wanawake waolewe na kuzaa katika age wanayoitaka wao na sio kutuletea zako hapa kwa michuzi.
ReplyDeleteHongera Mariamu na ubarikiwe.
ReplyDeletehuyo anomy. anayesema ooh cjui 2olewe kat ya 23 til 27,
ReplyDelete1. anaupungufu wa elim jinsi dunia inavyokwenda ss.
2.hajui nn na lini ni hatma ya akil yake fupi kuhusu uhuru wa mwanamke or msichana.
naomba atambue kwamba kuolewa c njia ya kumfanya mwanamke aonekane ktk jamii, labda huko kjjni kwao alkotoka yy.
asante sana anomy.07:49 31 mon, kwa kumpa KUBWA huyo..
jaman waschana kwa wanawake soma kwa uhuru unaojskia nao uwe cingle o engaged o married o divorced ukiwa chuo o popote,,,, UAMUZI NI WAKO..achanen na mawazo ya alinacha kama huyo!
much worse huyo hajiamini kama anaweza survive bila ya ndoa hapa duniani au hata kupendwa...ndiyo maana anaogopa eti" tafuteni wachumba mkiwa chuo o shule, msing`ang`anie kusoma" weweeeeee!
cku nyingine tafuta vya kukoment akilin co unadakia mada tu hapa mjini.
eti wanaproblems kwa kukosa malez ya baba.
ReplyDeleteteach african men TO BE GENTLEMEN, and not uanaume surual tuu.
ts the matter of sayn " I KNOW I CAN"
AND A GAL O WOMAN TO TRUST HER SELF"
Ucpo jiamin ndugu yngu hata huyo wa kutaka kukuoa hatakuamini kamwe! to anomy. 02:25 pm 31 monday.
wanawake KATENI SHULE HASA, huyo anaehofia kukosa mchumba ata...ju!
ReplyDeletena ushauri wako wa bure bora ungeuuza ili ujue ni insane wangap kama wewe wapo hapa dunian, so u can alline.
ila for the rest hatuna time to waste hat kufata huo wa bure, KEEP IT FOR TO SELF!
michuzi,, mm huyo b`damu kaniboa sana hata uspo publish comment yangu, yani jua ameboa.
kwa ujumla lady jaydee usupa staa unamsumbua, ndio maana kwenye suala la mavazi lazima afanye kituko. akikua ataacha.
ReplyDeleteukweli unabaki ukweli tu hata kama utatafuta sababu za kuupindisha bado moyoni utakusuta kuwa ndiyo ukweli.
ReplyDeletekuna vitu ambavyo nature ilivitengeneza kuwa kama vilivyo,na ktk mihangaiko ya kibinadamu tunajikuta tunavigeuza ilimradi tu kujifariji,na matokeo yake sikuzote huwa yanaturudia kwa njia tofauti maana huwezi kwnda kinyume na laws of nature and you cant cheat the nature,you can only cheat your mind for sometime but not the nature.
nilichogundua hapa nikwamba kuna baadhi wanajitahidi kuupinga ushauri wangu wa kuolewa mapema,lkn sio kwasababu hawapendi,ila kwakuwa ktk mazingira flani wamejikuta kutokuwepo katika ndoa. sasa hicho kisiwe kigezo cha kuwashawishi na wengine pia ambao wanaweza kufanya maamuzi haya sahihi wakijaliwa.
nature is very clever,ilimfanya kiumbe wa kike kuwa fertile(uwezo wa kutunga mimba)katika umri flani,na huo umri ukipita hawezi tena labda uwe muujiza wa muumba. sasa tunapo sema umri kati ya 23-27 ni prime age,ujue kuna sababu za msingi,mbona basi nisiseme azae ktk 10-14?au 50-60? jaribu kujiuliza maswali kabla hujalalamika au kupinga,hapa hakuna anayetaka kumponda mtu flani,bali kuelimishana.
nakubaliana na anayesema afya ya mtoto inategemea na couples na genetical constitution zao,lakini ameshindwa kwenda mbele kidogo akaangalia nikitu gani kinafanyika ktk mwili wa binadamu. je hujiulizi ni kwanini ulipokuwa miaka 8 hapo kifuani kulikuwa kweupe,sasa upo 20 panapendeza,na ukifika 60 panakuwa tofauti?hujiulizi nikwanini unapokuwa 20 uso unang'aa na ukiwa 70 kunamakunyanzi? vitu vingine huhitaji kutumia elimu nzito sana kufafanua maana sio wote watakao elewa,kwa mfano huo mdogo tu mwenye ufahamu na afahamu kuwa kunajambo nataka kusema.
in life we gete what we get,and not every what we want!but this make us attain a plan on which should work.sasa kwa wanaotaka kufuata mawazo ya wapingaji tambueni moja,if you create a habit you end up creating a character,and when you create a character, you end up creating your destiny!!
waacheni ambao bado ktk muda mzuri wa determine destiny zao,mungu hakuumba watu kujiishia tu kama watakavyo,na hiyo ndiyo tofauti kati ya binadamu na mnyama.yaani kuwa na mipango na kuitekeleza.ndoa kuwa za taabu yote ni mipango mibaya ya wahusika.
ukiwa na mipango bora ndoa sio karata,ni sehemu inayohitaji kuwa worked on as a plan,kama unavyopanga kusoma uchumi na sio engineering,au udaktari na sio agriculture.na unafikia lengo lako japo kwa kupitia mengi magumu hatimaye unahitimu. hivyo basi wadada ndoa sio ya kuchukia,maisha bora ni maisha ya ndoa kama utajaliwa,na uwapate wanao muwatunze kwa furaha na shukrani kama zawadi toka kwa muumba,na mkiwajibika kama wazazi na kutegemezana ktk hali zote as a lovely family!!!mambo ya kuiga tabia za walioharibikiwa hasa wa nchi za magharibi ambako the more they opose the nature the more it act against them hayana faida zaidi ya heart breaks tu.you end up with broken marriage with children with broken hearts and broken life wit a broken future!kama ya wapingaji wengi humu.
olewa mapema,endelea kusoma huku unazaa unachukua likizo,pata kazi yako enjoy your family life.
Hongera dada, umependeza, tunakutakia rakheli katika maisha yako mapya ya ndoa, welcome to the club. usihofu na maneno ya mitaani kafanye what you think its right for you, dont over do or under do. Do what you can
ReplyDeleteNakutakia maisha yenye furaha, amani na upendo tele. Wanadamu tumeumbwa kwa nyama uwe na moyo wa subira na kusamehe hakuna malaika, ila kuwa muwazi hiki sawa hiki si sawa usikae kimya utapata presha!
Hongera dada, umependeza, tunakutakia rakheli katika maisha yako mapya ya ndoa, welcome to the club. usihofu na maneno ya mitaani kafanye what you think its right for you, dont over do or under do. Do what you can
ReplyDeleteNakutakia maisha yenye furaha, amani na upendo tele. Wanadamu tumeumbwa kwa nyama uwe na moyo wa subira na kusamehe hakuna malaika, ila kuwa muwazi hiki sawa hiki si sawa usikae kimya utapata presha!
nikweli kabisa mdau hapo juu,wakati style za maisha ya sikuhuizi zinavyo changia kuongezeka kwa matatizo tofauti ya kiafya yakiwemo ya ulaji,uchafuzi wa mazingira n.k na kupelekea kwa hata baadhi ya magonjwa pia kujitokeza ambayo hayakuwepo zamani,pia kwa upande mmoja style na mihangaiko hiyo inachangia watu kupoteza muda mwingi ktk mihanjo na mashule na kuchelewa kuolewa na kuzaa nahii pia inapelekea matatizo mengi kujitokeza ya kiuzazi,na hata kindoa pia. sio kama zamani za kale ambapo by 15 mtu tayari keshaposwa,by 19 kaolewa na ana mtoto ndo maana walikuwa wanaweza kuzaa hadi watoto 10 kabla ya menopause. lakini pia matatizo haya ya kisasa hayakuwepo,walikuwa na yao tu ya kitofauti. sasa sikuhizi mi nashangaa tunavyojifanya tunaendelea ndo taabu zinaongezeka na matatizo mapya ambayo hayakuwepo!
ReplyDeleteMwanamke shule! Level- Mungu aliokujalia. Achana na wanaowahi na kuacha shule. Matunda utayaona tu. Utavuna ulichopanda.
ReplyDeleteHivi mama akiwa na mtizamo huo najiuliza kama unaweza kumwambia binti yako unaependa afanikiwe aache chuo kweli kwa sababu hio? Au unaandika tu humu kwenye blog??
Anon wa June 1 01:10 PM nimesoma ushauri wako kwa wanawake eti waolewa mapema nikabaki nastaajabu na kukuona unajua kwelikweli kumwaga pumba.
ReplyDeleteFirst, we know, kweli tunajua familia nyingi sana, tena tunaweza kuzitaja kwa majina ambapo watoto wamelelewa na wazazi wote wawili lakini wakawa bagi, unga, ulezi, fujo tupu! So it is not true kuwa eti ukizaa ndani ya ndoa utapata familia bora. Yote ni ya Mungu.
Second, najuwa single parents, wanaume kwa wanawake, na wajane ambao wameachwa na watoto wadogo, wamewalea wenyewe katika single parenthood na watoto wametokea kuwa ni mifano kwa jamii kwa tabia njema na kulijenga taifa. So it is also not true kuwa watoto waliolelewa na single parents ni kuporomoka kwa maadili. Maadili yanaporomoka na mazingira anayokuzwa mtoto, whether with both parents au single.
Third, uende milembe ukapimwe akili. Usifikiri wasichana wote wako single wanapenda kukaa hivyo. Vijana wengi siku hizi tena mahandsome sio riziki.
Fouth, unaweza kuolewa na sherehe na baraka zote za padri au imam na msijaaliwe kupata mtoto. Hivyo hiyo research phalacy yako uende nayo mirembe uifanyie kazi.
Fifth, dini ya kiislamu inaruhusu wake wengi, ila wanaume wanaogopa ngumi za mke mkubwa. So inabidi watu wakae single. Je hilo walijua? Au ni maandiko ya dini moja tu ndo ulikuwa unapostia hapa? Hii ni blogu/globu ya jamii baba/mama so be considerate please!
Mwisho, nataka kukuambia mengi sana ya kukuelimisha kupitia hii globu/blogu lakini screen haitoshi.
Dada ushauri wako si mbaya. Inaelekea uko kwenye ndoa kwa jinsi unavyo andika ingawa hujasema wazi. Mshukuru Mungu kwa kukupa mume mapema. Si wote wanaojaaliwa kupata mapema dada hata kama wanataka iwe hivyo. Shukuru wewe kwa bahati yako mambo huenda yamekuendea vizuri. Haikuwa vema kufanya judgement hapa. Sijui umeona nini?? Haipendezi kwa kweli. Kwa kuangalia picha huwezi jua historia ya mtu. Watu wanapitia mengi. Wewe ungeleta tu wazo lako siku nyingine kama hoja tofauti ya kuwashauri watu ingekuwa bora zaidi.
ReplyDeletenyie wanawake humu mnachekesha kweli,nimesoma comment zenu hadi mbavu sina. mbona naona wengine comment hazieleweki mara zinajipinga mara ukisoma rejea ya comment inayopingwa haiendani kabisa na ya mpingaji duh!kweli mwanamke ni mwanamke tu. hahah kazi mnayo kwelikweli wanabeijing.
ReplyDeleteila kweli hata mimi naungana na huyo anayewashauri muolewe mapema. mie mwenyewe siwezi kuoa mke mwenye miaka zaidi ya hiyo uliyotaja hapo juu...!
samahani dadazangu msije kuniingiza ktk ugomvi wenu mi simo.
we anon wa june 1 saa o7:54PM unadai hypothesis YANGU YA watoto wanaolelewa nje ya ndoa kupata matatizo ambayo baadaye huwa reflected directly au inderictly kuwa si kweli, wewe umetumia factor zipi kui falsify?maana huwezi ku draw conclusion kwa kutumia mfano wa familia mbili au 50 unazozifahamu.
ReplyDeletemimi nina ijustify kwa kutumia fact nyingi tena ambazo ni world wide sio za tanzania tu. japo kuwepo ambao wanabahatika kutokuwa affected ambao ni wachache hakuwezi kui falsefy, maana hiyo ni sawa na kusema waafrika sio maskini eti kwakuw kuna baadhi ya matajiri wachache,au kusema ulaya na marekani sio tajiri kwakuwa kuna baadhi ya maskini wachache.
kabla hujapinga hebu jaribu kuangali kipi ni normal na kipi ni abnormal, kwa mfano inaeleweka kuwa normaly mwanamke huzaa,sasa kwa mwanamke kutojaliwa kuzaa huwezi kuifanya kuwa tayari ni normal. au mwanamume kuwa shoga huwezi kuifanya kuwa ni normal eti kwakuwa kuna mashoga na ktk baadhi ya sehemu wanaoana.
kama umeamua kuishambulia point basi toa hoja zenye fact zilizokwenda shule,kama unataka kunielimisha sawa,lakini uangalie usijekuta mi ndo nakuelimisha.
milembe siwezi kwenda maana wewe unaye tizama mazingira ambayo yanawakuta watu accidentaly kama normal ndiye unayestahili kupelekwa milembe ili uweze kuyatizama maisha ktk mtizamo sawia.
sasa unataka kuhalalisha kuwa normal ni kutokuolewa au kuolewa katika umri wa 50yr?
kuna ubaya gani kwa binti kuolewa mapema huku akiendelea kusoma! inamaana wewe hujawahi kuona hilo au hujatembea zaidi ya tz?
tatizo nikwamba wengi mmekariri maisha,na mnakuwa kama mtoto ambaye kazoea kuimba multiplication table kwa mtiririko flani,uki badili mtirirko anapotea njia.
nani aliweka sheria kwamba lazima umalize university au college ndipo uolewe au kuoa? mbana wengine tumesoma na watu wameoana vijana tu na kuzaa huku wanasoma na wakiishi vizuri tu!
jaribuni kubadilika na kufanya mambo yenye kuleta tija kwako na kwa jamii pia,sio kushikilia misimamo ambayo wala faida haina.
kwataarifa yako watu wanapo oana wakiwa vijana au kuolewa mapema kuna faida zifuatazo:-
1.wanandoa hutokea kukua na kujenga tabia zinazo shabihiana kutokana na kuwa ktk umri huo mapenzi yanakuwa na nafasi kubwa kuliko mawazo ya kimaisha namali.,a hii husaidia watu kuelewana hata baadaye shida inapotokea wanajuwa namna ya kuchukuliana, tofauti na mnapokutana ktk umri mkubwa lets say 36 vs 40 kila mtu anatabia yake kamili isiyoweza kukubali kubadilika,na hii hujenga misuguano mapema ndani ya ndoa,hii nikutokana na ukweli kwamba unakuta kila mtu ameshaanza maisha ya kujitegemea na kuwa na focus yake ya kimaisha kivyake,hivyo kumbadili sio jambo rahisi ndiyo maana feeling za kujisikia unakosa uhuru na kama unakaliwa zinaanza kukutawala.
sitaki kwenda zaidi lkn naweza nikakupa sababu nyingi zaidi ya hii labda ubishe tu kwasabau zako binafsi.
Tanzania wanaolewa kwenye hiyo age group and below wengi tu lakini nchi yetu ni moja ya nchi zinaongoza kwa wanawake wengi wanakufa wanakua wanajifungua.
ReplyDeleteHuku kwa hao wasio na pressure za kuolewa au kuzaa wanazaa wakiwa wakubwa tu lakini vifo vya wanawake wakiwa wanajifungua ni vichache sana.
Tupunguze hizo za kusumbuana olewa olewa, ukishaolewa miezi tisa hujazaa basi watu wanaanza za zaaa hazai hazai..Pressure ya nini watu...Jitahidini kumbind yor business
Na usimlazimishe mtu azae wakati hutamsaidia kutunza huyo mtoto. Ndio maana vitoto vingi tu TZ havina life au vinatunzwa na bibi na babu kwa vile wazazi wao walijizalia tu kutokana na pressure ya wazazi au watu wa mitaani..
Celine Dione pregnant 42 yrs old
Mke wa John Travolta pregnant 47 yrs old.
Madonna had her last child at 42