MSHINDI WA VODACOM MISS MANYARA 2010 MISS PAULINA WILLIAM AKIWA KATIKA POZI LA PAMOJA NA MSINDI WA PILI MISS RACHAEL NGOWI, MSHINDI WA TATU MISS VICTORIA ALFRED, MSHINDI WA NNE MISS ESTER JOSEPH NA MSHINDI WA TANO MISS NICE NICKSON.
KUTOKA KUSHOTO, MKURUGRNZI WA GENO COSMETICS AND ENTERTAINMENT MAMA JOYCE RUPIA, AFISA UTAMADUNI WA MKOA MR. KAZIMOTO, MKUU WA WILAYA YA BABATI AMBAYE PIA NDIYE ALIKUWA MGENI RASMI DR. RANGIBOI AKIJIANDAA KUKABIDHI ZAWADI KWA WASHINDI WA VODACOM MISS MANYARA 2010.
WASHIRIKI 10 WA VODACOM MISS MANYARA WAKITOA SHOW YA UTAMBULISHO KWA MASHABIKI WALIOFIKA KUHUDHURIA MASHINDANO HAYO.


















Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...