Waziri wa Maji na Umwagiliaji nchini Prof. Mark Mwandosya (kulia) leo jijini ametoa taarifa kwa waandishi wa habari kuhusu ushirikiano wa nchi za Bonde la Mto Nile.ambapo amelezea lengo lake ni ukusanyaji wa Takwimu za mizania ya rasilimali za maji katika eneo la nchi za maziwa makuu., nchi kumi zinajumuisha BONDE la Mto Nile ni Burundi,Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo,Egypt, Eritrea, Ethiopia,Kenya, Rwanda, Sudan,Tanzania na Uganda. Picha na mwanakombo Jumaa- MAELEZO.
Home
Unlabelled
Profesa mwandosya azungumzia ushirikiano wa nchi za bonde la mto nile
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Waarabu wasifanye rasilimali zilizotolewa na mwenyezi Mungu kuwa ni mali yao pekee na wengine wasizitumie wakati chanzo cha maji haya kiko katika ardhi zetu.
ReplyDeleteWaziri komaa nao hivyo hivyo.
kutolea macho hayo maji ya ziwa Victoria wakati kila mwaka tuna acha maji kiasi gani yanakwenda baharini wakati tungejenga sehemu za kuhifadhia maji ili kukidhi haja nyakati kame kuzalisha samaki na mengineyo.such a fool.angalia project ya Ghadafi jangwani? sisi tuko nyuma na tutaendelea kuwa nyuma
ReplyDeleteWaarabu hapo mnatafuta kilio......tumpe mradi wa umwagiliaji Israel na tuone.
ReplyDelete