Kwa hii na video zingine kibao
Home
Unlabelled
raha na karaha ya bustani ya mnazi mmoja garden
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Kwa hii na video zingine kibao
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mtowa habari una lengo la kutowa haja nzuri, lakini ni kwa nini hukujitayarisha vyema na kujuwa utakachosema kabla ya kuanza kuripoti?
ReplyDeleteingelikuwa ripoti nzuri kama ingelikuwa na prepation badala ya kutafuta maneno ya kusema live.
ni hayo tu kwa sasa.
At least basi unge edit sound...watangazaji na waandishi wa bongo sidhani kama wanatumia script...wenzenu wanasoma mambo yote wanayoyasema wasije wakasema nenoo wasilokusudia au kutoka moyoni mwao wakawa sued....
ReplyDeleteAndikeni chini mnachotaka kukitoa hewani
Habari Michuzi, kwanza ningependa kusema hongera kwa kuweka hii video.Kwa kweli hali kamaa hii inasikitisha sana kuona sehemu kama hii ikiachwa bila matengenezo, na pia wananchi wakikatazwa kwenda kujipumzisha na kupunga upepo.Nailaumu halmashauri ya jiji kukosa kutenga bustani maalumu na maeneo ya watoto kucheza.Wananchi kodi wanalipa lakani maendeleo hatuyaoni.Maendeleo ya kweli si majumba machache marefu jijini na simu za mkononi,la asha maendeleo ya kweli ni huduma bora za jamii, maji safi, barabara bora na umeme.Watanzania bado tuna safari ndefu kwa kweli!
ReplyDeleteMdau,
Columbus Ohio.
Michuzi wewe unazengumzia sehemu ya kupumzika wakati wodi ya kina mama hapo Temeke na Amana haina vitanda.
ReplyDelete