Mwanamuziki mkongwe, Ras Nas aka Nasibu Mwanukuzi, na kikosi chake kikali watashambulia jukwaa katika miji ya Beirut na Cairo kwenye tamasha la Spring Festival 2010 tarehe 14 na 15 mwezi huu. Bendera ya bongo itapeperushwa ipasavyo, na kama wahenga walivyonena, asiye na mwana itabidi aelekee jiwe! Safu ya Ras Nas ina wanamuziki Uriel Seri (Ivory Coast), Chuck Frazier (USA), Karlos Rotsen (Martinique), Larry Skogheim (Norway) na Dag Pierre (Sweden). Wadau habari ndiyo hiyo!


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...